Quinn
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 473
- 1,184
Samahani wadau...nauliza utaratibu wa kodi ukiagiza magari ya kazi (trucks) mapya au used kutoka China ukoje? ...maana kwenye mtandao wa TRA unaonesha magari used tu na tena mengi ni kutoka japan... je kwa China utaratibu wa kodi zake ukoje kwa magari mapya na used