Utaratibu wa Kodi za TRA kwenye magari mapya au used kutoka China ukoje?

Utaratibu wa Kodi za TRA kwenye magari mapya au used kutoka China ukoje?

Quinn

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
473
Reaction score
1,184
Samahani wadau...nauliza utaratibu wa kodi ukiagiza magari ya kazi (trucks) mapya au used kutoka China ukoje? ...maana kwenye mtandao wa TRA unaonesha magari used tu na tena mengi ni kutoka japan... je kwa China utaratibu wa kodi zake ukoje kwa magari mapya na used
 
Nadhani ingefaa uende ofisini kwao, watakupa information zote.
 
Ni anuani ipi ya TRA inaonesha ghalama ya kuingiza magari yaliyotumika toka Japan.
Nataka kuagiza gari lililotumika toka japan
 
Mkuu yaani unataka agiza yutong used!??[emoji848][emoji848] aiseeeh!!![emoji22][emoji22]
 
Back
Top Bottom