BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Duh
Hadi barua za posa zipo mtandaoni
Heri yetu sie tulofunga ndoa enzi za ujima
Hadi barua za posa zipo mtandaoni
Heri yetu sie tulofunga ndoa enzi za ujima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nataka nimuoe mwanao, na nimeweka tsh.......kama kishika uchumba
wako katika ujenzi wa taifa.
Wewe ndio umepitwa na wajati, huna unalolijuwa.Barua syo lazima.
Bint atoe taarifa kwa wazaz siku unayokuja kutoa hyo posa kushnei.unamtambulisha bint kwenu naye anakutambulisha kwao .posa zinaelekea kupitwa na wakati.
Hizo style za barua ya posa ninakama mda mrefu cjashuhudia.nishaparticipate process za watu wengi tuu.Wewe ndio umepitwa na wajati, huna unalolijuwa.
Hakuna watu wazima, wazee huko unakoishi
Sasa kama msichana hajakubali utapeleka posa?!Mimi nina swali, Je, unaanza na msichana au wazazi? Yaani nani anakubali kwanza? Na Je, anayekutuma kwa Wazazi ni msichana wako au wewe mwenyewe unaamua tu kwenda bila ya yeye kukwambia ufanye hivyo?
Sasa kama msichana hajakubali utapeleka posa?!
Hapo sasa ndiyo patamu! Sasa hiyo barua ya nini kama shori ameshakubali tayari? Kwani hawezi kuwaambia wazazi wake kama amepata mchumba ?
Ndoa za vigodoro barua sangapi zoba?Hizo style za barua ya posa ninakama mda mrefu cjashuhudia.nishaparticipate process za watu wengi tuu.
Barua haina umuhimu wowote ule may b vijijn.
Hahah.Ndoa za vigodoro barua sangapi zoba?
Kwa familia ya JamiiForums,
Mimi Mwambadog, mtoto wa mzee Dog, ukoo wa Tanzania. Nimemuomba mzee Mwanza, kama mshenga wangu kufikisha ombi langu hili kwako.
Nimevutiwa na kupendezwa na mtoto wako, Kidawa binti chapati, ninaomba unipatie awe mke wangu wa ndoa kulingana na imani yetu.
Nimeridhika na tabia zake, kutokana na malezi bora uliyomlea kwa uzuri zaidi. Ninaomba mzee wangu, unikabidhi awe mke wangu wa ndoa.
Nasubiri kusikia kutoka kwako/kwenu ili kanuni na taratibu za kidini/kimila ziweze kutimizwa kama utanikubalia mzee wangu.
Natanguliza shukurani zangu kwako kwa dhati kabisa.
Ni mimi,
Mwambadog
Umesaidia wengi. Nami nikiwemo. Barikiwa sana mkuu.Kwa familia ya JamiiForums,
Mimi Mwambadog, mtoto wa mzee Dog, ukoo wa Tanzania. Nimemuomba mzee Mwanza, kama mshenga wangu kufikisha ombi langu hili kwako
Nimevutiwa na kupendezwa na mtoto wako, Kidawa binti chapati, ninaomba unipatie awe mke wangu wa ndoa kulingana na imani yetu.
Nimeliridhika na tabia zake, kutokana na malezi bora uliyomlea kwa uzuri zaidi. Ninaomba mzee wangu, unikabidhi awe mke wangu wa ndoa.
Nasubiri kusikia kutoka kwako/kwenu ili kanuni na taratibu za kidini/kimila ziweze kutimizwa kama utanikubalia mzee wangu.
Natanguliza shukurani zangu kwako kwa dhati kabisa.
Ni mimi,
Mwambadog
Kaka umesaidia sana.. sio mtoa post tu... bali hata mm.. ngoja nifanye mipangoKwa familia ya JamiiForums,