Utaratibu wa kubadilisha kituo cha kazi kutoka Sekondari kwenda TTC

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,433
Reaction score
1,442
Heri ya mwaka mpya.
Wakuu naomba msaada kwa wenye ufahamu nilisoma BED wakati ule ulikua wanapangiwa kwemda kufundisha vyuo vya ualimu lakini sikupangwa nilienda sekondari.
Sasa hivi nataka nibadilishe, je ni utaratibu gani natakiwa kuufuata? Asante sana
Mwl Wenyele
 
Jamani naomba msaada kwa mtu anayejua
 
Mwalimu kilaza huyu, kuandika tu tatizo utaweza kufundisha vizuri wakati wewe hujiwezi, Walimu ni watu wenye matatizo ya akili.
 
Kimeumana.
Mhalimu kapigwa za uso.
I real don't love teachers.
Nikikumbuka walivyonichapa kwasababu za kipumbavu nawadharau sana
 
Heri ya mwaka mpya.
Wakuu naomba msaada kwa wenye ufahamu nilisoma BED wakati ule ulikua wanapangiwa kwemda kufundisha vyuo vya ualimu lakini sikupangwa nilienda sekondari.
Sasa hivi nataka nibadilishe, je ni utaratibu gani natakiwa kuufuata? Asante sana
Mwl Wenyele
Kuna matangazo ya kazi yanatangazwa, nadhani ungeomba unaweza pata
 
Kimeumana.
Mhalimu kapigwa za uso.
I real don't love teachers.
Nikikumbuka walivyonichapa kwasababu za kipumbavu nawadharau sana
Mwalimu ni mzazi wako
Kakufundisha kujistiri, kakufundisha uache kujinyea ovyo
Waheshimu, mpaka leo unatumia smartphone ni kwa ajili yao, babako asingeweza kupunguza huo ujinga ulionao
 
Sio kwa hawa walimu wa Kibongo.
Nikiwa form 3-4 mwalimu wa mathematics alikuwa Mmarekani.
Jamaa alikuwa mwalimu haswa.
Ukikosa hesabu adhabu zake ni za mchakamchaka na yeye anashiriki. Ukipata A au B lazima akupe zawadi, hata sticker atakupa ili kukupongeza.
Mwalimu wa Kiafrika yuko kama trafic police wa Kiafrika anaombea upate ajali ili apate mahali pa rushwa. Teacher anaombea uchelewe kwenda shule ili atimize azma yake ya kuchapa.
Kwanini nisiwadharau ?
 
Jinsi tu unavyoongea unaoneka ziro kichwani
 
Back
Top Bottom