Kimeumana.Mwalimu kilaza huyu, kuandika tu tatizo utaweza kufundisha vizuri wakati wewe hujiwezi, Walimu ni watu wenye matatizo ya akili.
Mhalimu alikuchapa ili ujue kuandika ila ukadai ni sababu za kipumbavu. Ukabakia hivyo hivyo mpaka leo, hakika utajidharau peke yako na wanao ndani !Kimeumana.
Mhalimu kapigwa za uso.
I real don't love teachers.
Nikikumbuka walivyonichapa kwasababu za kipumbavu nawadharau sana
Nimeandika kusudi kwa kuidharau hii kada ya vilazaMhalimu alikuchapa ili ujue kuandika ila ukadai ni sababu za kipumbavu. Ukabakia hivyo hivyo mpaka leo, hakika utajidharau peke yako na wanao ndani !
Tuliza makalio mtoto wa kiume ww matoto yako yatafundishwa na nani? Usiforce tutafuta laana zingine hazifaiNimeandika kusudi kwa kuidharau hii kada ya vilaza
Kuna matangazo ya kazi yanatangazwa, nadhani ungeomba unaweza pataHeri ya mwaka mpya.
Wakuu naomba msaada kwa wenye ufahamu nilisoma BED wakati ule ulikua wanapangiwa kwemda kufundisha vyuo vya ualimu lakini sikupangwa nilienda sekondari.
Sasa hivi nataka nibadilishe, je ni utaratibu gani natakiwa kuufuata? Asante sana
Mwl Wenyele
Mwalimu ni mzazi wakoKimeumana.
Mhalimu kapigwa za uso.
I real don't love teachers.
Nikikumbuka walivyonichapa kwasababu za kipumbavu nawadharau sana
Sio kwa hawa walimu wa Kibongo.Mwalimu ni mzazi wako
Kakufundisha kujistiri, kakufundisha uache kujinyea ovyo
Waheshimu, mpaka leo unatumia smartphone ni kwa ajili yao, babako asingeweza kupunguza huo ujinga ulionao
Jinsi tu unavyoongea unaoneka ziro kichwaniSio kwa hawa walimu wa Kibongo.
Nikiwa form 3-4 mwalimu wa mathematics alikuwa Mmarekani.
Jamaa alikuwa mwalimu haswa.
Ukikosa hesabu adhabu zake ni za mchakamchaka na yeye anashiriki. Ukipata A au B lazima akupe zawadi, hata sticker atakupa ili kukupongeza.
Mwalimu wa Kiafrika yuko kama trafic police wa Kiafrika anaombea upate ajali ili apate mahali pa rushwa. Teacher anaombea uchelewe kwenda shule ili atimize azma yake ya kuchapa.
Kwanini nisiwadharau ?
Hilo ni lako weweJinsi tu unavyoongea unaoneka ziro kichwani
Ongea kama mwanaume,hzo pumba unazoongea wachie watoto wa kikeNimeandika kusudi kwa kuidharau hii kada ya vilaza