Utaratibu wa kugawana nyumba

Hawa wanawake wa siku hizi kwann mnahangaika nao katika kutafuta maisha?! Wewe tafuta maisha akija akukute nayo.

Mabinti wa siku hizi hawana discipline na wanajiona wajuaji na wanapenda sana kujiandaa kwa shari.
Ukishatafuta usisahau kufanya kama Hakimi usije kulia, maana wataanza ooh mama wa nyumbani nae ana mchango wake kwa kufanya kazi za nyumbani...we piga lock kila chenye thamani kwako as much as you can.
 
Sahihi mkuu....yani ni unasaka life then anakuja na nguo zake tu[emoji853]kikiumana conclusion inajulikana

Yani wanasuburi ushateseka weee then ile hali kumuweka ndani ndo anaona kama fursa ya kukuvuna shenzi
Cheza kama Hakimi tu
 
Mke anataka nyumba iuzwe, ili wagawane nusu kwa nusu.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Qmanyoko walah, wanasheria wanakuja na Kesi ya CJ Nyalali kusema kua mwanamke ana haki sababu alikua anapika na kufua nepi za mtoto na unyumba alikua anampa pia kwa hio hawezi ondoka mikono mitupu lazima alipwe 50/50
 
Nakazia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…