Utaratibu wa kugawana nyumba

Utaratibu wa kugawana nyumba

Hawa wanawake wa siku hizi kwann mnahangaika nao katika kutafuta maisha?! Wewe tafuta maisha akija akukute nayo.

Mabinti wa siku hizi hawana discipline na wanajiona wajuaji na wanapenda sana kujiandaa kwa shari.
Ukishatafuta usisahau kufanya kama Hakimi usije kulia, maana wataanza ooh mama wa nyumbani nae ana mchango wake kwa kufanya kazi za nyumbani...we piga lock kila chenye thamani kwako as much as you can.
 
Sahihi mkuu....yani ni unasaka life then anakuja na nguo zake tu[emoji853]kikiumana conclusion inajulikana

Yani wanasuburi ushateseka weee then ile hali kumuweka ndani ndo anaona kama fursa ya kukuvuna shenzi
Cheza kama Hakimi tu
 
Mke anataka nyumba iuzwe, ili wagawane nusu kwa nusu.
😆😆😆 Qmanyoko walah, wanasheria wanakuja na Kesi ya CJ Nyalali kusema kua mwanamke ana haki sababu alikua anapika na kufua nepi za mtoto na unyumba alikua anampa pia kwa hio hawezi ondoka mikono mitupu lazima alipwe 50/50
 
Dawa ya ujeuri ni ufedhuli.. Iuzwe nyumba kisha hela ya kiwanja, hela ya foundation mpaka boma, kifupi nyumba ilipokuwa kabla ya ndoa gharama zake zoote mwanume arudishiwe, kisha watizame hapo kwenye ilipomalizikia, ni shilingi ngapi hapo ndio ipigwe pasu sasa,.
Wanawake wengine chenga saana, mna mtoto bado unadai mali ipigwe mnada.
Nakazia hapa
 
Back
Top Bottom