Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Hivyo tu mkuu? Akimaliza hapo anahamia moja kwa moja?Asante kwa swali zuri, mtumishi anayetaka kuhama tok taasisi moja Kwenda nyingine anatakiwe kwanza ahakikishe kule anakotaka Kwenda Kuna nafasi, na pia aandike barua kupiti mwajiri wake Kwenda anakotaka kuhamia ili kuomba kuhamia huko. Ndio utaratibu huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo tu mkuu? Akimaliza hapo anahamia moja kwa moja?
Umeeleza vizuri sana aisee.Akimaliza hapo, ile Barua yake aliyoiandika kwenda Taasisi X atajibiwa (coz alishaomba nafasi wakamruhusu!
Majibu yatatolewa kwa Maandishi (barua) kwenda kwa Mwombaji na Copy kwenda kwa Mwajiri...
Upo sahihi 100%, kwa kuongezea hizo siku 21 hazijumuishi siku za wkend, ni siku 21 za kazi ambazo kwa wastan ni kama wiki 4.Akimaliza hapo, ile Barua yake aliyoiandika kwenda Taasisi X atajibiwa (coz alishaomba nafasi wakamruhusu!
Majibu yatatolewa kwa Maandishi (barua) kwenda kwa Mwombaji na Copy kwenda kwa Mwajiri...
Nakala la vyeti vya taaluma (kuanzia Sekondari, chuo n.k)Umeeleza vizuri sana aisee.
Swali la lingine ila sio la mwisho.
Report ya uhakiki anaitoa wapi? Je baada ya siku 21 inachukua miezi mingapi hadi apewe barua ya kuhama jumla kutoka kwa katibu mkuu?
Hizo attachment zinazomhusu mtumishi ni zipi?
Da swali zuri nami niulize vipi kama unatoka halmashari kwenda tahasisi X utaratibu ni uleule ulioutaja hapo juuUpo sahihi 100%, kwa kuongezea hizo siku 21 hazijumuishi siku za wkend, ni siku 21 za kazi ambazo kwa wastan ni kama wiki 4.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenda kwa KM Utumishi ambatanisha hizi:-Umeeleza vizuri sana aisee.
Swali la lingine ila sio la mwisho.
Report ya uhakiki anaitoa wapi? Je baada ya siku 21 inachukua miezi mingapi hadi apewe barua ya kuhama jumla kutoka kwa katibu mkuu?
Hizo attachment zinazomhusu mtumishi ni zipi?
Sawa. Ngoja nimjulishe mhusika.Kwenda kwa KM Utumishi ambatanisha hizi:-
Nakala la vyeti vya taaluma (kuanzia Sekondari, chuo n.k)
Barua ya ajira yako ya mwanzo na barua ya kuthibitishwa kazini kama ipo
Bila kusahau ile barua yako uliyojibiwa kwamba nafasi ipo kule ulikoomba kuhamia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Barua ya kuomba nafasi razima ipitie kwa mwajiri? Let say kuomba nafasi kutoka Halmashauri kwenda Taasisi X au Bodi XAkimaliza hapo, ile Barua yake aliyoiandika kwenda Taasisi X atajibiwa (coz alishaomba nafasi wakamruhusu!
Majibu yatatolewa kwa Maandishi (barua) kwenda kwa Mwombaji na Copy kwenda kwa Mwajiri...
Safi mkuu.Akimaliza hapo, ile Barua yake aliyoiandika kwenda Taasisi X atajibiwa (coz alishaomba nafasi wakamruhusu!
Majibu yatatolewa kwa Maandishi (barua) kwenda kwa Mwombaji na Copy kwenda kwa Mwajiri....
Mkuu Barua ya kuomba nafasi razima ipitie kwa mwajiri? Let say kuomba nafasi kutoka Halmashauri kwenda Taasisi X au Bodi X
Umeeleza vizuri sana aisee.
Swali la lingine ila sio la mwisho.
Report ya uhakiki anaitoa wapi? Je baada ya siku 21 inachukua miezi mingapi hadi apewe barua ya kuhama jumla kutoka kwa katibu mkuu?
Hizo attachment zinazomhusu mtumishi ni zipi?
Da swali zuri nami niulize vipi kama unatoka halmashari kwenda tahasisi X utaratibu ni uleule ulioutaja hapo juu
Hakuna formula this is Tanzania, zikipita siku 21 anza kufatilia.Sawa. Ngoja nimjulishe mhusika.
Maximum time hadi kujibiwa na katibu mkuu inachukua miezi mingapi mkuu kwa uzoefu wako.
Mkuu Barua ya kuomba nafasi razima ipitie kwa mwajiri? Let say kuomba nafasi kutoka Halmashauri kwenda Taasisi X au Bodi X
[emoji120]Akimaliza hapo, ile Barua yake aliyoiandika kwenda Taasisi X atajibiwa (coz alishaomba nafasi wakamruhusu!
Majibu yatatolewa kwa Maandishi (barua) kwenda kwa Mwombaji na Copy kwenda kwa Mwajiri.
Mwombaji ukishapata barua yako kutoka Taasisi X kuwa Umekubaliwa kuhamia... Utaandika Barua kwenda kwa KTB MKUU UTUMISHI ukimuomba kuhamia Taasisi X. Barua hii itapitia tena kwa Mkuu wako.
Safari hii barua hii itaambatana na ile ilotoka Taasisi X.
Pia barua hii itakuwa na ATTACHMENTS zingine zote zinazohusu UTUMISHI wako ukiweza weka na report ya UHAKIKI.
Barua hii unaweza kutuma kwa POSTA japo ni vzr uipeleke mwenyewe physically MTUMBA, MTAA WA SERIKALI au UTUMISHI UDOM. Kwenye barua yako usisahau kuweka sentensi hii: GHARAMA ZA UHAMISHO HUU NI JUU YANGU.
Utumishi wataingiza Maombi yako ktk mfumo wao wa kielektroniki na wewe utapata SMS kuwa maombi yako yamefika.
Muda wa kushughulikiwa maombi yako ni siku 21 na baada ya hapo ruksa kuanza kuulizia status ya Maombi yako.
Sent using Jamii Forums mobile app