Utaratibu wa kuhama kwa Watumishi wa umma kwenye mashirika ya umma ukoje?

Je baada y kupata nafasi TANESCO kupitia interview, taratibu zipoje ili uweze kutoka UDSM kwenda TANESCO.
 
Je baada y kupata nafasi TANESCO kupitia interview, taratibu zipoje ili uweze kutoka UDSM kwenda TANESCO.
Sasa mbona unasema umepata nafasi huko TANESCO?
Ok omba hiyo nafasi kama ulivyofanya lakini hakuna horizontal transfer!
 
Sasa mbona unasema umepata nafasi huko TANESCO?
Ok omba hiyo nafasi kama ulivyofanya lakini hakuna horizontal transfer!
Hapana kaka sijapata, nmeuliza swali kutokana na mfano uliotoa wa kutoka UDSM kwenda TANESCO. But nlifanya interview TANESCO matokeo hayajatoka bado.. Pia sikupitisha application letter kwa mwajili wangu wa sasa, nlitakau kujua utaratibu in case niki pass interview.
 
Kama hukupitisha barua kwa mwajiri wako wa sasa itatafsiriwa kuwa unataka kutoroka na hivyo kukupunguzia points za kupata ajira mpya! Recommendations za mwajiri wako wa sasa ni muhimu sana na hasa unapohama kutoka shirika moja la umma kwenda lingine. Hivyo chances za ku-pass ni ndogo sana kwa kuwa pamoja uhitaji wa TANESCO mtaalam kama wewe lakini watakuwa na mashaka kuhusu uaminifu wako!

Kwa kifupi utapata hiyo ajira endapo una Godfather au umetoa rushwa!
 
Daa, nmeishiwa nguvu
 
Umemalza Kila ktu
 
Wakuu.
Je ni kosa kwa mtumishi wa umma wa shirika la serikali X (mfano NHIF) kuandika barua kwa Katibu Mkuu Utumishi kuomba kuhamishiwa Taasisi nyingine ya serikali bila kuitaja kutokana na changamoto fln?

Mfano:

Mimi mtumishi X wa Taasisi Y naomba kuhamishiwa Taasisi nyingine ya serikali kutokana na changamoto ABC
 
Kuchaguliwa kwenye hiyo post mpya inawezekana asilimia 100. Ila shida itakuja kwenye transfer.

Kwa kuwa mwanzoni hukupitisha barua kwa mwajiri wako anaweza kukukatalia kuhama.
 
Kuchaguliwa kwenye hiyo post mpya inawezekana asilimia 100. Ila shida itakuja kwenye transfer.

Kwa kuwa mwanzoni hukupitisha barua kwa mwajiri wako anaweza kukukatalia kuhama.
Tatizo ukipitisha barua kwao kuna kaurasimu flani ivi, inaweza chukua ata wiki tatu wasiisaign, mpaka deadline ya kufanya application inapita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…