jahanbaksh
Senior Member
- Sep 4, 2018
- 122
- 161
Habarini wakuu, kama uzi unavyojieleza naomba kujua utaratibu wa kuhamisha Tin number ya biashara kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, natanguliza shukrani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mkoa una makusanyo yake!! Huwezi fanyia biashara Bukoba Kyampisi, Ukalipa Kodi Ilala Dar-es-SalaamUnahamisha Ya Nini Ukiwa Nayo Ninachojua Mimi Inatumika Popote Hapa Nchini
Huhitaji Sijui Kuhamisha Taarifa Kama Meter Ya Tanesco
Kama ni kampuni ingia kwenye taxpayers portal kuna sehemu ya kuchange tax region. Ya binafsi nadhani online inafanyika pia(sina uhakika)Habarini wakuu, kama uzi unavyojieleza naomba kujua utaratibu wa kuhamisha Tin number ya biashara kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, natanguliza shukrani