Utaratibu wa kuishi na ndugu baada ya ndoa unafaa uwe vipi?

Tatizo kubwa ni mkeo ,yeye ndo anatakiwa akae nao chini awaelimishe hawawezi kuja kwako kama hajawakari isha ,sikuingine acha kuoa wadada wa tandika kwa mtogole
 
.........Ugumu wa maisha unasababisha watu wafanye vitu vya aibu sana.
 
Duniani huwezi ukamfurahisha kila mtu mtu anakuja kukaa tu nyumbani hana kazi anatafta nini?sijawahi fuga mtu kwangu et aamke anakula na kuangalia tv kwangu ni big no?mtu wa hivyo humsaidii bali unamlemaza
 
Duniani huwezi ukamfurahisha kila mtu mtu anakuja kukaa tu nyumbani hana kazi anatafta nini?sijawahi fuga mtu kwangu et aamke anakula na kuangalia tv kwangu ni big no?mtu wa hivyo humsaidii bali unamlemaza
Watu wataprefer bure kuliko kazi ,mm hutoa mtaji sio matumizi ,mtaji ni one time hatujuani ,matumizi ni maisha ,mungu ndo atakupa matumizi au wewe mwenyewe ,wengine ni tukijaaliwa ni mtaji tuu
 
Zaburi 133:1-3 BHN

Ni jambo zuri na la kupendeza sana ndugu kuishi pamoja kwa umoja.

1 Timotheo 5:10 BHN

na awe mwenye sifa nzuri: Aliyewalea watoto wake vizuri, aliyewakaribisha wageni nyumbani kwake.....

1 Petro 4:9 BHND

Muwe na ukarimu nyinyi kwa nyinyi bila kunung'unika.


1 Timotheo 5:13 SRUV

Tena, pamoja na hayo, hujifunza kuwa wavivu, wakizungukazunguka nyumba kwa nyumba; wala si wavivu tu, lakini ni wachongezi na wadadisi, wakinena maneno yasiyowapasa.


1 Wathesalonike 4:11-12 BHN

Muwe na nia ya kuishi maisha ya utulivu, kila mmoja ashughulikie mambo yake mwenyewe na afanye kazi kwa mikono yake mwenyewe kama tulivyowaagiza pale awali. Kwa namna hiyo mtajipatia sifa nzuri kutoka kwa wale wasio Wakristo, na hamtakuwa na lazima ya kuwategemea wengine kwa mahitaji yenu.
 
Kaa nao waambie kesho ondokeni tunaishi kwa bajeti hapa mjini period.
 
Hakuna formula !
muhimu upendo wa Mungu utawale na husuda zisiwepo hata tone moja hapo itakuwa Baraka na kustawi kwingi na neema.
 
Tatizo unaweza ukawependa lakini wakaishia kutafuta kukuangamiza Na kukuharibia !

Lakini Imeandikwa; “Tusichoke katika kutenda mema maana tutavuna kwa wakati wake tusipozimia mioyo”
 
Mkuu kosa la kiufundi unaonekana unakaa nyumba kubwa ila upo ww na Mkeo tu, kuwa na hesabu za kifedha kidogo kutatua hilo tatizo.
Pangisha hiyo nyumba kisha nenda kapange chumba kimoja hizo kenge haziwezi kujileta maana watakuwa hawana pa kulala. Kwahy utakuwa umetatua tatizo huku unakunja noti kiulaini kabisa

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…