Mpandisha mishahara JF-Expert Member Joined Mar 1, 2014 Posts 1,742 Reaction score 1,558 Dec 17, 2021 #41 Huenda muuliza swali anataka kumuona muuliza swali.
Mpandisha mishahara JF-Expert Member Joined Mar 1, 2014 Posts 1,742 Reaction score 1,558 Dec 17, 2021 #42 Joe razinger said: Mwenzako aliruka geti magogoni,akaingia akakata UA,walinzi kuja kushtuka,akawaambia nilikua napima ulinzi wa Rais ,nimeingia na nikachukua ua,jamaa kilaini kabisa alionana na mkulu,ila cha moto alikipata Click to expand... Mwaka gani?
Joe razinger said: Mwenzako aliruka geti magogoni,akaingia akakata UA,walinzi kuja kushtuka,akawaambia nilikua napima ulinzi wa Rais ,nimeingia na nikachukua ua,jamaa kilaini kabisa alionana na mkulu,ila cha moto alikipata Click to expand... Mwaka gani?
4 4 7mbatizaji JF-Expert Member Joined Dec 8, 2019 Posts 8,406 Reaction score 9,619 Dec 17, 2021 #43 Mwaiwendangudage said: Lengo Ni kuonana na Mkuu wa nchi; kazi ninayo nzuri tuu. Nalima matunda Aina ya Strawberry yananisaidia KUTUNZA familia. Shida yangu Ni zaidi ya hiyo Click to expand... Binafsi Sina shida na hitaji lako , Wala sikua na shida yakujua Mambo ya uchumi wako binafsi
Mwaiwendangudage said: Lengo Ni kuonana na Mkuu wa nchi; kazi ninayo nzuri tuu. Nalima matunda Aina ya Strawberry yananisaidia KUTUNZA familia. Shida yangu Ni zaidi ya hiyo Click to expand... Binafsi Sina shida na hitaji lako , Wala sikua na shida yakujua Mambo ya uchumi wako binafsi
M Mwaiwendangudage Member Joined Jul 16, 2021 Posts 39 Reaction score 44 Dec 24, 2021 Thread starter #44 4 7mbatizaji said: Binafsi Sina shida na hitaji lako , Wala sikua na shida yakujua Mambo ya uchumi wako binafsi Click to expand... Nimekujibu kwa kadri ya ushauri wako
4 7mbatizaji said: Binafsi Sina shida na hitaji lako , Wala sikua na shida yakujua Mambo ya uchumi wako binafsi Click to expand... Nimekujibu kwa kadri ya ushauri wako