Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
Huenda muuliza swali anataka kumuona muuliza swali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka gani?Mwenzako aliruka geti magogoni,akaingia akakata UA,walinzi kuja kushtuka,akawaambia nilikua napima ulinzi wa Rais ,nimeingia na nikachukua ua,jamaa kilaini kabisa alionana na mkulu,ila cha moto alikipata
Binafsi Sina shida na hitaji lako , Wala sikua na shida yakujua Mambo ya uchumi wako binafsiLengo Ni kuonana na Mkuu wa nchi; kazi ninayo nzuri tuu. Nalima matunda Aina ya Strawberry yananisaidia KUTUNZA familia. Shida yangu Ni zaidi ya hiyo
Nimekujibu kwa kadri ya ushauri wakoBinafsi Sina shida na hitaji lako , Wala sikua na shida yakujua Mambo ya uchumi wako binafsi