Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
sometimes kuishusha daraja timu iliyofirisika ni kuiokoa na madeni zaidiAcha umbea mzee
Ni wewe kweli au account yako imekuwa hacked?Tumeona timu za Ulaya zikishushwa madaraja kwa kufirisika na hasa timu inaposhindwa kulipa mshahara wachezaji wake , Portsmouth ya England na Parma ya italia ni mifano halisi .
Kwanini Yanga Pamoja na ukweli kwamba imefirisika hadi kushindwa kulipa mshahara wa wachezaji wake , huku wengine wakivunja mikataba ( jambo la aibu ambalo hatukuwahi kuliona ) bado inaachwa kushiriki ligi kuu ?
Tumeona timu za Ulaya zikishushwa madaraja kwa kufirisika na hasa timu inaposhindwa kulipa mshahara wachezaji wake , Portsmouth ya England na Parma ya italia ni mifano halisi .
Kwanini Yanga Pamoja na ukweli kwamba imefirisika hadi kushindwa kulipa mshahara wa wachezaji wake , huku wengine wakivunja mikataba ( jambo la aibu ambalo hatukuwahi kuliona ) bado inaachwa kushiriki ligi kuu ?
kule ulaya zilizoshushwa bado zilikuwa uwanjani mkuuNi wewe kweli au account yako imekuwa hacked?
Mpira ni uwanjani Kiongozi. Haijalishi kama ni hela za kuchangishana na za mwanaume mmoja. Kikubwa point mwisho wa msimu.
Kikubwa point ngapi mwisho wa msimu.kule ulaya zilizoshushwa bado zilikuwa uwanjani mkuu
Nimekubali mkuu!Hili suala naona linazungumziwa kiutani lakini kwa taratibu za FIFA zilivyo iwapo uongozi wa Yanga hautachukulia suala la kuvunja mikataba na wachezaji/makocha wake kwa makubaliano ya maridhiano ya pande mbili na wachezaji hao wakaenda kushtaki TFF and then madai yakafika FIFA na ikaonekana madai yao ni ya kweli na Yanga haina uwezo wa kuwalipa basi usishangae kuikuta Yanga mwakani inapambana na Mawenzi market, Ihefu, Green warriors n.k.
Kimsingi uongozi wa Dk. Msola unapaswa kutumia busara na maridhiano na wachezaji/makocha wanaovunja mikataba yao na si watumie mihemuko ili kila mtu aende zake kwa amani ya bwana akiwa ameridhika. Ni busara zaidi kwa uongozi kufanya makubaliano na wachezaji/makocha wanaowaacha kuwa siri badala ya kuwatuma wasemaji wa klabu kwenye vyombo vya habari kubwabwaja kuwa mchezaji fulani hana kiwango tumeamua kumuacha. Kwa mchezaji/kocha ambaye anaona kabisa hali ya kiuchumi ya klabu sio nzuri akielezwa vizuri na makubaliano yakawa siri ni rahisi sana kuvunja mkataba na akasamehe baadhi ya madai yake.
Kuvunja mikataba na wachezaji/makocha ni jambo la kawaida duniani kote na Yanga si wa kwanza wala hatakuwa wa mwisho. Kimsingi wawatumie wanasheria ambao ni mashabiki wa Yanga ambao wapo wengi tu nchini ili wawasaidie katika hili tena bila hata malipo ili klabu isiingie katika migogoro isiyo na tija na kuiingiza taasisi kubwa kama hii kwenye matatizo ambayo yanaweza kuzuilika.
Mifano miwili ya timu zilizoshushwa kwa njia hiyo?Hili suala naona linazungumziwa kiutani lakini kwa taratibu za FIFA zilivyo iwapo uongozi wa Yanga hautachukulia suala la kuvunja mikataba na wachezaji/makocha wake kwa makubaliano ya maridhiano ya pande mbili na wachezaji hao wakaenda kushtaki TFF and then madai yakafika FIFA na ikaonekana madai yao ni ya kweli na Yanga haina uwezo wa kuwalipa basi usishangae kuikuta Yanga mwakani inapambana na Mawenzi market, Ihefu, Green warriors n.k.
Kimsingi uongozi wa Dk. Msola unapaswa kutumia busara na maridhiano na wachezaji/makocha wanaovunja mikataba yao na si watumie mihemuko ili kila mtu aende zake kwa amani ya bwana akiwa ameridhika. Ni busara zaidi kwa uongozi kufanya makubaliano na wachezaji/makocha wanaowaacha kuwa siri badala ya kuwatuma wasemaji wa klabu kwenye vyombo vya habari kubwabwaja kuwa mchezaji fulani hana kiwango tumeamua kumuacha. Kwa mchezaji/kocha ambaye anaona kabisa hali ya kiuchumi ya klabu sio nzuri akielezwa vizuri na makubaliano yakawa siri ni rahisi sana kuvunja mkataba na akasamehe baadhi ya madai yake.
Kuvunja mikataba na wachezaji/makocha ni jambo la kawaida duniani kote na Yanga si wa kwanza wala hatakuwa wa mwisho. Kimsingi wawatumie wanasheria ambao ni mashabiki wa Yanga ambao wapo wengi tu nchini ili wawasaidie katika hili tena bila hata malipo ili klabu isiingie katika migogoro isiyo na tija na kuiingiza taasisi kubwa kama hii kwenye matatizo ambayo yanaweza kuzuilika.
Portsmouth na Parma ya italyMifano miwili ya timu zilizoshushwa kwa njia hiyo?
Vinginevyo ni hadithi kama hadithi nyingine tu.