Utaratibu wa kutoa hela za matumizi kwa familia zetu kila siku, unafilisi

Mkuu umekufa inabidi tukwambie tu mana hakuna namna!!
 
Kingine mtoa mada,
Hatar uaeke stock Kia's gani.

huna namna Unaweza kukwepa kuacha posho ya meza,Kuna vitu haviwekwi stock[emoji4]

Afu mwanaume kwenda kwenda sokoni na kulalamika lalamika Mambo ya misosi, hii haileti afya kwenye familia[emoji4]

UTAKUJA kupigwa mwiko na mkeo jikoni afu iwe aibu[emoji2]
 
Hii ya kununua stock nilishaikataa, familia inajikuta imebanwa kwenye menu za Aina Fulani fulan tu.

Ukiacha Ela,
wife ATAJUA jins ya kubalance ule menu tofaut tofauti kulingana na alichokikuta sokoni[emoji4]
 
Mchepuko unaupa.sh ngapi??
 
😀 😀 😀 😀 Hujafa bado uko hai usiogope.
 
Hawa wetu wa kiswahili utawek 500k imalize mwez ikifik wiki mbili anakuambia mjomba alimeza shoka sijui mara mama kaanguka ilimrad tu uambiwe imeisha

Tuendelee tu kuwek mezan kila siku asubuh
Sahii kabisa,
Bado utaratibu wa kugawa vyakula kwa majirani vikiwemo ndani vingi[emoji4]
 
Wewe itakua unakipato cha uhakika kwa mwezi, ungekua unaishi maisha ya pata potea usingeongea haya.
 



Experience yangu nimefanikiwa kumfanya wife atunze familia kwa kumpa mradi mdogo afanye na kupata ela.

Mi nikirudi msosi mzuri upo nakula na ela zake ana manage mwenyewe akikwama kabisa labda kitu kinataka bajeti kubwa ndo anakuja kwangu otherwise mambo ya familia anamaliza mwenyewe kwa kimradi anachoendesha.

Mwanzo nilikuwa namsimamia saiv kasimama anaenda mwenyewe tena anajituma kweli kweli
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Kmly
 
Hawa wetu wa kiswahili utawek 500k imalize mwez ikifik wiki mbili anakuambia mjomba alimeza shoka sijui mara mama kaanguka ilimrad tu uambiwe imeisha

Tuendelee tu kuwek mezan kila siku asubuh
[emoji16][emoji16]
 
Wewe itakua unakipato cha uhakika kwa mwezi, ungekua unaishi maisha ya pata potea usingeongea haya.
Hakuna pata potea anaweza kununua stock ya chakula nyumbani.[emoji2]
Hesabu Ni zile zile mkuu[emoji4]
 
Ndo utaratibu naottumia pia wife ndo cashier au mhasibu wa familia yangu
 
Bujibuji acha uhuni 😂 Aisee nimecheka sana.
 
Mkuu unakosea sana, kiafrika jukumu la kulisha familia ni la Mume, ungejitahidi kadri uwezavyo jukumu la chakula liwe la kwako halafu huko kwingine mchangio wote kwa pamoja. Acha kula chakula cha mwanamke ndugu.

Lakini kama mkeo karidhika Mimi ni nani niwapangie? Nilikuwa najaribu kushauri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…