Nitakuwepo kwa vyoyote.Napendekeza utaratibu/mpangilio ufuatao.
1. Watatangulia Maaskofu, Masheikh, Maimamu, Wachungaji, Mapadre, Manabii, Mitume na viongozi wengine wa Dini.
2. Watafuata Mabalozi wa Nchi mbalimbali, Wakuu wa Taasisi/Mashirika ya kimataifa na kikanda.
3. Waumini wa Dini zote na Watanzania wote kwa ujumla.
*Tutakuwa tukiimba"Freedom is coming tomorrow"
NB:- Kamwe usichukue silaha yoyote ile, maana hatuendi vitani. Twende kwa amani na kurudi kwa amani.
Freedom is coming tomorrow.
Umeongea ukweli mtupu hapo polisi wakiona Viongozi wa Dini hasa Maskofu lazima waufyateNapendekeza utaratibu/mpangilio ufuatao.
1. Watatangulia Maaskofu, Masheikh, Maimamu, Wachungaji, Mapadre, Manabii, Mitume na viongozi wengine wa Dini.
2. Watafuata Mabalozi wa Nchi mbalimbali, Wakuu wa Taasisi/Mashirika ya kimataifa na kikanda.
3. Waumini wa Dini zote na Watanzania wote kwa ujumla.
*Tutakuwa tukiimba"Freedom is coming tomorrow"
NB:- Kamwe usichukue silaha yoyote ile, maana hatuendi vitani. Twende kwa amani na kurudi kwa amani.
Freedom is coming tomorrow.
Mwaka huu watauota moto. Wamezoea hawa.kesi ijaanza kusikilizwa muriro na chalamira washaanza kujichukulia maamuzi ya vichekesho
kwakuwa umeweka ratiba hayo ni maandamano kisheria na yanapaswa kuwa na kibali hunabutakamatwa utaenda kumsongea ugali lissu ukongaNapendekeza utaratibu/mpangilio ufuatao.
1. Watatangulia Maaskofu, Masheikh, Maimamu, Wachungaji, Mapadre, Manabii, Mitume na viongozi wengine wa Dini.
2. Watafuata Mabalozi wa Nchi mbalimbali, Wakuu wa Taasisi/Mashirika ya kimataifa na kikanda.
3. Waumini wa Dini zote na Watanzania wote kwa ujumla.
*Tutakuwa tukiimba"Freedom is coming tomorrow"
NB:- Kamwe usichukue silaha yoyote ile, maana hatuendi vitani. Twende kwa amani na kurudi kwa amani.
Freedom is coming tomorrow.
Atakayekuchokoza malizana naye mkuu 😹Mm nitaenda kama kawaida,Cha msingi mtu asinichokoze maana nimejindaa,economically,socially,politically,
Naichukia ccm kama kinyesiDah ukiona tambo za kwenye JF utafikiri kweli watatoka kuandamana. Kumbe vikunguru tu.Kelele nyingi kwenye mitandao.
Chuki yako haitasaidia lolote kwa sababu hakuna chochote unachowezq kufanya.Ichukie hali yako ya umaskini.Naichukia ccm kama kinyesi
Dawa ya tatizo siyo kuahirisha ila ni kutatia kwa uhakika na sii kichawa.Nina wasiwasi kutokana na muitikio wa wapenda haki kuwa wengi ,matamko ya kulaani kesi hii ya kubumba ya ndani na nje ya nchi wawakilishi wa jumuiya za kimataifa kutinga hapo View attachment 3310982 mahakamani policcm kupitia magereza watasema gari iliyotakiwa kumleta ina changamoto.
Mimi nataka kesi iwepo kaburu mwanamke ataenda kupata aibu ya mwaka.Dawa ya tatizo siyo kuahirisha ila ni kutatia kwa uhakika na sii kichawa.
kwani ni siku ya kutoa hukumu? au tunaenda kutia jotoNapendekeza utaratibu/mpangilio ufuatao.