Utaratibu wa kwenda kusikiliza kesi ya Lissu, 24.04.2025

Utaratibu wa kwenda kusikiliza kesi ya Lissu, 24.04.2025

Dah ukiona tambo za kwenye JF utafikiri kweli watatoka kuandamana. Kumbe vikunguru tu.Kelele nyingi kwenye mitandao.
Hivi kwani ni maandamano au watu wanaenda kusikiliza kesi.

Napendekeza mahakama ingeamishiwa Mkapa watu tusikie Cross examination za mawakili
 
Hivi kwani ni maandamano au watu wanaenda kusikiliza kesi.

Napendekeza mahakama ingeamishiwa Mkapa watu tusikie Cross examination za mawakili
Chama chako kimetangaza maandamano. Kamanda kaandamane lakini aga kabisa.
 
Nina wasiwasi kutokana na muitikio wa wapenda haki kuwa wengi ,matamko ya kulaani kesi hii ya kubumba ya ndani na nje ya nchi wawakilishi wa jumuiya za kimataifa kutinga hapo View attachment 3310982 mahakamani policcm kupitia magereza watasema gari iliyotakiwa kumleta ina changamoto.
Kama nilihisi kisingizio kimeibuka ni mahakama mtandao.

Watu wanaotaka kuangalia ni zaidi ya 1M halafu server ya mahakama haizidi hata watu 1000

Na vilaza wa policcm wamejaa bado barabarani hadi kuingia mahakamani.
 
Back
Top Bottom