Hebu tufafanulie
Mali kweli mnagawana kutokana na kuangalia ni nini mlipata mkiwa pamoja lakini haya mambo ya kugawana nusu kwa nusu hayapo kisheria. Mnaweza gawana lakini sio nusu kwa nusu.... yani akae tu nyumbani nimpe mali zangu nusu haitakuja tokeaHebu tufafanulie sheria inasemaje kuhusu kugawana Mali.
We kichwa chako naona ndo kimejaa funza. Eti akutunzie watoto wako (as if wewe mwanamke watoto sio wa kwako)Wewe naona ni mjinga kwahiyo ulizania mwanamke ni housegirl wako akupikie akufulie,akulindie nyumba yako akutunzie watoto miaka yote halafu useme hana haki ? Kwani yeye hawezi kwenda kufanya vibarua akajenga mji wake kwa huo muda wote miaka yote ulioishi naye? Kwanza ujue mwanamke alitakiwa azidishiwe robot tatu
Order iko hivi: MUNGU - KRISTO - MWANAUME - MWANAMKE.
hakika Yesu ni Bwana na MwokoziView attachment 1675777
Nini pasu kwa pasu, kuna watu vichwa. Anamwachia nyumba, gari, sijui shamba, mahouse boy & girls, huyooo,!! anaenda zake. Amani ya akili ni bora Mara 100 kuliko mali.Wakati wanaharakati wakihangaika kuwainua wanawake na kujifanya kuwatetea ndipo wanazidi kuwashusha na kuwakandamiza wanaume.
Hali inakokwenda kuna wanaharakati watajitokeza nao kuwa wanatetea wanaume dhidi ya ukandamizaji unaofanywa dhidi yao.
Mwanamke kutaka pasu kwa pasu ilhali hajachangia kinachostahiki kuwa pasu kwa pasu huo ni unyama kwa wanaume na pia kuzidi kuwalegeza wanawake.
Unapowatafutia shortcut wanawake manake unazidi kuwadumaza zaidi ili waje kuwa watu hatari zaidi katika jamii.
Kama ishu ni kwamba naye kalea watoto basi apate hao watoto wote wawe wake mana ndo nguvu kubwa ilikuwa huko.
Mwanamke apewe chochote lakini sio pasu kwa pasu wakati yeye hakuchangia gharama yoyote ya mali katika kukuza mafanikio ya mume.
Kama alichangia na mume pasu kwa pasu(nusu mume nusu mke)basi HAINA SHIDA IWE PASU KWA PASU,kama hakuchangia basi iangaliwe tu kipi apewe akaanzie maisha na sio mambo ya kuwafanya wanaume vitega uchumi.
Bado unaongea tu hujui uchungu wake hayajakukuta weweNini pasu kwa pasu, kuna watu vichwa. Anamwachia nyumba, gari, sijui shamba, mahouse boy & girls, huyooo,!! anaenda zake. Amani ya akili ni bora Mara 100 kuliko mali.
I assure you, utakuwa very peaceful and happy if you even forget obout her existence.
Akili za Ngaramtoni hiziWewe naona ni mjinga kwahiyo ulizania mwanamke ni housegirl wako akupikie akufulie,akulindie nyumba yako akutunzie watoto miaka yote halafu useme hana haki ? Kwani yeye hawezi kwenda kufanya vibarua akajenga mji wake kwa huo muda wote miaka yote ulioishi naye? Kwanza ujue mwanamke alitakiwa azidishiwe robot tatu
Kwani watoto ni kwa ajili ya baba pekee au na mama anahesabika ni wake ?Ukimfanya mke akawa tu nyumbani akikuondolea stress na kukuzalia watoto,
Ana haki zake kisheria.Kwa Waislamu hakuna kitu kinaitwa pasu kwa pasu.
Mwanaume ni mwanaume tu.
Hii naona inaegemea sana kwa wamama wa nyumbani ambae anamtegemea mume kwa kila kitu hapo pasu kwa pasu inaweza ikawa ngumu.Kwani watoto ni kwa ajili ya baba pekee au na mama anahesabika ni wake ?
Kama watoto ni mali ya baba na mama sio baba peke yake,na kuhudumia pia ni jukumu la baba kwa muda wote wa maisha.
Sasa unaposema kuwa mwanamke kanizalia kwa nini isiwe na yeye kajizalia wakati hao watoto nae ni wake pia.
Suala la kuzaa watoto hayo ni matokeo ya ndoa,na mtoto ni mali ya mke na mume sio mume peke ake.
Labda uje na hoja mpya kwamba katika familia watoto ni mali ya baba peke yake.
Pasu kwa pasu ikiwa mke nae alichangia kama mume wakastruggle wote wakasimamisha mali hiyo haina shida.Hii naona inaegemea sana kwa wamama wa nyumbani ambae anamtegemea mume kwa kila kitu hapo pasu kwa pasu inaweza ikawa ngumu.
Lakini huyu mwanamke ambaye yupo kazini weka mia aweke mia mnunue kiwanja,mara mnunue tofali au mshahara wako kopea wangu utahudumia familia hapo pasu kwa pasu itahusika.
Aa kwa hiyo unataka kusemaje mkuu,mana vifungu sijavielewaOrder iko hivi: MUNGU - KRISTO - MWANAUME - MWANAMKE.
hakika Yesu ni Bwana na MwokoziView attachment 1675777
Sharing is caring..Say No to "pasu kwa pasu"