Utaratibu wa mwanamke kupewa pasu kwa pasu baada ya talaka bila wao kuchangia ni wa Hovyo na kandamizi kwa wanaume?

hili suala ni pana, kwenye hili ili kuliweka sawa labda ufanyike mfumuko wa sheria na mila.
 
Mwanamke apewe tu kile kilichochumwa baada ya kuolewa.
Hii sheria ni kandamizi kwa wanaume,wapo wanawake uitumia vibaya utafuta wanaume wenye mali uolewa nao wakikaa kidogo udai talaka Ili wapate Mali
 
Ndo maana mimi mke wangu mali zangu nyingi hazijui (sijamshirikishaa)

Mke sio ndugu yakoo
 
Kama mmezaa watoto hapa ni sawa na sio hawa wezi
 
Mkuu kwani sheria inasemaje mfano kwa mali ambazo mwanamke amemkuta mwanaume anazo?
Sio mtaalam wa masuala ya sheria za nchi wala za ndoa, ila nachojua pindi waachanapo wanandoa kisheria huwa na mgao wa mali nusu nusu. lakini napokuwa na mkanganyiko na mimi ni pale ambapo tunawalipia mahari meaning that ni kama wanaume tunannua mwanamke lakini kama ni shukrani kwa wazazi wa mwanamke je sisi wanaume wazazi wetu hawatakiw kupewa shukrani kwa malezi yetu

feminist wengi suala la mahari hawalizungumzii ila mgawanyo wa mali na haki sawa ndio imekuwa ndio habari
 
Sasa tunathibitishaje kama kachangia au la??....maana wakati wanajenga hapakuwa na makubaliano ya aandishi kama wamechangia ujenzi au la????
 
Feminist wengi hushupalia mambo ya kijinga sana ndio maana wenyewe kwa wenyewe wanapingana
 
kuoa wala kuolewa si jambo la lazima tunaweza kuwa na watoto na tusiishi pamoja.
Tatizo wenzetu wanaona kuolewa ni bahati ilhali sisi wanaume kuoa ni kitu cha kawaida tu na hakuna wa kutushupalia kwamba uoe
 
Sasa tunathibitishaje kama kachangia au la??....maana wakati wanajenga hapakuwa na makubaliano ya aandishi kama wamechangia ujenzi au la????(
Eidha muandikishiane mlivyochangia kwa kumbukumbu au mtaamua wenuewe kama mume sio mtata na mdhulumati
Sasa tunathibitishaje kama kachangia au la??....maana wakati wanajenga hapakuwa na makubaliano ya aandishi kama wamechangia ujenzi au la????
 
Ndo maana mimi mke wangu mali zangu nyingi hazijui (sijamshirikishaa)

Mke sio ndugu yakoo
Ahahhahahhahahahahhahha.

Muhimu ziwe sehemu salama mkuu,sio unakufa alafu wanakula watu wasiohusika huko wakati angejua mkeo na wanao wangefaidi,ila kama ipo sehemu salama sio mbaya
 
Ndugu hao viumbe achana nao embu vuta picha mtu anaamka usiku anaendaa basi hajabeba ata buku ya soda kavaa tu kimahaba akifika huko ni mauno tu dinner vinywaji naul atapata huko huko we unaona huyo ni kiumbe wa kushindana nae
Kaa mbal na mwanamke
umenikumbusha wiki fulani nikamtoa out demu best angu tu. ile tumekaa tu simu ya wife ikaita ikabidi nitoke nje ya lounge niopokee kama nusu saa hivi. Nikakuta kashindwa kuagiza hata soda,kumbe hata buku hana
 
Maneno ya busara haya. [emoji122][emoji122]
 
Vipi kama huyo mke hafui, hapiki wala kulinda nyumba na hizo kazi zinafanywa na mtu aliyeajiriwa nyumbani kwa kazi hizo na wakati huo huyo mke nae anafanya kazi na kupata mshahara wa 200,000 na mme nae kaajiriwa na mshahara wake ni 1,500,000 napo wakiachana wanastahili kugawana nusu kwa nusu?
 
Kwa hiyo mchango wa:
1. Kupika (chef)
2. Ulinzi wa nyumba (mlinzi)
3. Usafi wa nyumba (msafishaji)
4. Kuzaa watoto
5. Kufundisha watoto (mwalimu)
6. Tendo la ndoa (sex worker)
7. Kukuliwaza (therapist)
...nk.

Unapaswa uzingatiwaje wakati wa kugawan mali mwisho wa ndoa.

Yani, thamani yake ni hipi? Asilimia ngapi?
 
Hapa tuwe makini sana:

Asilimia kubwa ya wanawake ni watu wazima:
Wanalea watoto peke yao
Hawana kazi maalum bali wanafanya biashara ndogo ndogo (kuuza nyanya, samaki nk.)


Niwachache sana wanaolelewa kama we unavyosema.

Kama unabisha angalia tu nje ya nyumba yako uone.
 
Na hili ndo tatizo, mchango wa mwanamke ni mgumu sana kuupigia mahesabu na mara nyingi sisi wanaume tunachukulia poa tu.

Kama mtu anaona wanawake wanachangia kidogo sana, jaribu kuishi bila wao utaona cost yake.

Upishi, usafi, ulezi wa watoto, urafiki: ni vitu vya ghali saaana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…