Utaratibu wa ndoa yangu

Utaratibu wa ndoa yangu

Hata maajuza wanakuwaga na nyege wakikutana na mtu sahihi.

Na pengine miaka yote unang'ongw'a. Ukirudi na biti lako na mikwara mwenzio anakucheka kijicho pembe keshakamuliwa vizuri😃😃
Kwani nimemkataza asifanye ivo
 
Kuna vitu unaweza kusema unafnya kwa maamuzi yako kumbe ni ishu za inheritance...je faza yupo hivo..?

Au haka katabia umeanza nako weweb
Wewe ni mwanaume bwege mwanamke inatakiwa umudhibiti hamuoni jamii za kiarabu zinavofanya
 
Wewe ni mwanaume bwege mwanamke inatakiwa umudhibiti hamuoni jamii za kiarabu zinavofanya
😂😂😂😂😂 Simi sihoni sasa....
Kwanini wewe umehona..??

Wewe kwanza umehoha .?
 
Le
Labda umzindike kama ni kuchapiwa tu,utachapiwa
Lengo amheshimu kama mume (awe kama mwanamke alie kwenye ndoa) hayo mengine majaliwa , Ke akiamua kugawa atagawa na huwezi jua hata umfungie ndani
 
Mara nyingi natumia ile kauli "mwanamke usipomuendesha wewe atakuendesha yeye" hivyo nimekuwa na utaratibu wangu wa kipekee ktk ndoa yangu. Sio udikteta wala si kwamba nafanya kitu sijui.
Ipo ivi

Mke wangu ni marufuku na kosa la jinai kuvaa suruali na nguo yoyote dizain hyo, nguo zake ni gauni pana,blauzi skert na nguo zenye heshima.

Mke wangu hana campan ya wanawake wa aina hyo ya mavazi ya uchi hyo ni sheria sio ombi,kwa kifupi hana marafiki, mkewangu ni yeye na nyumbani nyumbani na yeye. Habari za kwenda kwenda kwao hyo haipo kwangu,labda km kuna issue ya lazima pia tunaweza kwenda nae tukarudi cku hyo hyo.

Mke wangu anaishi maisha local, sio mtu wa kwenda na usasa kivile. Anaishi maisha safi, kula vzr kulala pazuri huduma zote muhimu anapata lkn sio mtu wa kwendwa na nyakati,hapendelei kusuka ni mtu wa kunyoa tuu.

Nimarufuku nimkute mke wangu anasafishiwa kucha/miguu na wasafisha kucha, ananijua hawezi kuthubutu.

Mimi mda wa kurudi nyumban haujulikani sina ratiba maalum, kwa kifupi ratiba zangu mkewangu haelewi na sitaki aelewe.

Mimi kuchukua simu yake na kuondoka nayo ni jambo la kawaida, alafu ni kosa nikute kaunga kifurushi cha Sms kwenye simu yake.

Nimefanya haya na mengine na nimeweza kwa kiwango kikubwa, na mkewangu amechukulia km ni utaratibu wa ndoa. Sifanyi kumkatili lkn najua mwanamke usipomuendesha atakuendesha.
na bado anachepuka
 
Ma
Tushazoea mfumo wetu usituombee mabaya
Siwaombei mabaya.
Labda kama huyo binti yupo hivyo tangu mwanzo lakini kama umembadilisha kuwa hivyo utakuja tu kupigwa na kitu kizito.
Kwasababu wanaume kama nyie ukiachia mbali hayo masharti yenu huwa ni wakatili, wanyanyasaji,washamba, smarty- pants (much know), wasioshaurika na mtu yoyote. Ipo siku bidada atachoka na hutaamini macho yako.

Kiufupi ni rahisi kuboreka kuishi na mtu kama wewe maana hamjui kuonyesha mapenzi, mna mapenzi ya kijeshijeshi mkiamini ya kwamba mnajenga kumbe mnabomoa.

Siku huyo mke wako atapata chance ya kuwa huru hata kwa siku moja akakutana na muhuni(tena wa jf) 😂😂😂😂😂. Yajayo yanafurahisha.

Kila la kheri.
 
Shem mke wangu simkatili, anaishi maisha anayistahili kuishi mwanamke. Anakula vzr, ana nyumba nzuri, usafiri forester ya kutembelea. Lkn utaratbu wa ndoa ni lazima kufatwa. Hii ni ndoa sio mapenzi
 
Shem mke wangu simkatili, anaishi maisha anayistahili kuishi mwanamke. Anakula vzr, ana nyumba nzuri, usafiri forester ya kutembelea. Lkn utaratbu wa ndoa ni lazima kufatwa. Hii ni ndoa sio mapenzi
itakuwa hata humtombi vizuri nakwambia.
 
Back
Top Bottom