Utaratibu wa ndoa yangu

Yaani!!?hapo unalinda uke ambao Amekua nao miaka mingi kabla ya kuwa na wewe!!?

Mwache huru TU coz wanawake wote wanafanana !wote wanatoa penzi pale unapofika bei anayoitaka iwe ni ndoa au kahaba anaejiuza au mdangaji!wote Wana bei yao hasta huyo utakaemuoa ana Bei yake ndio hiyo iliyomfanya akaishi na wewe!!!!!

Hawa viumbe Wana Bei Yao mkuu ukifika unamchukua hata ndoa ni bei kama bei nyingine Ile na akichoka atafika bei pengine!
 
Sema huyo dada ulimkuta hivyo ukaendeleza na mengine, hongera Kwa kupata mke aso na mambo mengi as long as she is happy it's okay.
Haya turudi 😃Amadala niache kimini Leo itakuwa ngumu
 
Hapa Kama ndoa sio utumwa Ni nin?

#kataandoa
 
Maana yangu sio asitoke nje ya ndoa ila utaratibu wa ndoa ubaki kuwa wa ndoa
 
Mzee unateseka sana physiology isee..
 
Itoshe kusema huwaelewi wanawake. Ungekuwa mjanja ungemuuliza amewezaje kufanikiwa kiasi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…