SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Duh!Kwenye uzi wa mleta mada kuna sehemu yeyote kasema kuwa ni ushamba CAF kutumia ubora wa miaka 7 nyuma kupima timu kwa wakati wa sasa?
Kama hajasema huoni kama mdau kawasilisha hoja yake mpya ya kwamba CAF ipo kizamani kwa kufanya ranking ya miaka 7?