Utaratibu wa unyampara kwenye matumizi ya barabara zetu umekithili, Viongozi na magari ya majeshi waelekezwe matumizi ya barabara

Wanakera Sana
 
Acheni hizo hkn jeshi lenye nidhamu Africa km jwtz...unawapita unakimbilia nini?kifo?wapi ?lini? kwa nini?
Vibao vimeandika km80 kwa saa wewe unazidisha kwa nini wasikuzuie?? Ni haki yao kwa usalama wako.wao na wapita njia? Kwa nini uchafue barabara na midamu yako?? Km unataka kufa na gari yako nenda tambarare za porini huko weka speed 200 kagonge mwamba wa porini utakufa kwa amani kabisa..lkn siyo barabara zetu unatuchafulia tena ushukuru hao walikuwa wanajeshi wazaramo/wapemba staarabu sana...ungekutana na wakurya wa jesi heeee!!! Ungekunya kabla hawajakupa adhabu....make wale wanaanzaga kulia wao.kitakachofuata heee sisemi sana...

kwanza buana wale wakikukata jicho lao jekunduuuu la kibangibangi...km si kunya utakojoa na walahi usingepata nguvu ya kuandika humu.
Tatizo ulikutana na wajeda warembo!
 
Jeshi linaenda kuwa la kisomi vumilieni japo kwa udogo.
Na Taarifa hii imefika panapo husika japo zipo nyingi za kufanana na hii za nyakati tofauti.
Amini zitafanyiwa kazi.
 
Jeshi linaenda kuwa la kisomi vumilieni japo kwa udogo.
Na Taarifa hii imefika panapo husika japo zipo nyingi za kufanana na hii za nyakati tofauti.
Amini zitafanyiwa kazi.
Jeshi la kisomi wanaleta vurugu barabarani, wanagonga magari hovyo barabarani na kupiga marungu vioo vya magari huo ni uungwana kweli?
I wish ningekuwa CDF in magu voice!

Hatuwezi kuwa na jeshi linalogeuzia wanchi mitutu, badala ya kulinda Raia linatumia mitutu na sare , magari na nembo za kijeshi kutishia raia!

Malalamiko tuyafikisha kwa viongozi na hamsemi maana yake nini?

Tuambie basi tusitumie barabara kuliko ubabe bila kujali hadhi na utu wa watu huko barabarani
 
Sheria za nchi yetu zipo kwa ajili ya watu wa chini tu. Hao wajuu siku zote wapo juu ya hizo sheria.
 
Unaelewa kweli hata mambo yanavyokwenda. Kama hujui ni bora ukauliza ukaelekezwa
 
Hapo wako sahihi, kwanini uongee kiingereza?
 
Juzi maeneo ya chamwino kama unaelekea JKT HQ kuna gari ya jeshi Nyota moja plate number kidogo ilambwe na lorry, ka overtake bila kujali dereva anae kuja yuko vipi ilikuwa chupuchupu
 
Na sahv kuna hawa sjui ndy watu wa system wanapita na v8 zao wanawasha vingora shida tupu
Hawatuli Road

Ova
 
Na sahv kuna hawa sjui ndy watu wa system wanapita na v8 zao wanawasha vingora shida tupu
Hawatuli Road

Ova
Kila mtu mbambe sahv shida tupu nchi haina mkanyaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…