Utasaidia kuiba kura,au utazui uchaguzi usifanyike

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Nazani kutokana na histori ya chaguzi zetu za huko nyumu,uamuzi unao mwenyewe,
Tumeona uchaguzi wa 2020 Chadema wakipata Mbunge mmoja tu, Tanzania nzima,tumeona uchaguzi wa serikali za mitaa,naamini tunaitaji kumuunga mkono Tindu lissu siyo hawa kina Mrema wachumia tumbo,Mengine utashirikiana na akili yako
 
Haha ila watu mna maswali eti "utasaidia kuiba kura..." na unategemea mtu ajibu "nitasaidia kuiba kura" aya bhana
🙂
 
Nazani kutokana na histori ya chaguzi zetu za huko nyumu,uamuzi unao mwenyewe,
Tumeona uchaguzi wa 2020 Chadema wakipata Mbunge mmoja tu, Tanzania nzima,tumeona uchaguzi wa serikali za mitaa,naamini tunaitaji kumuunga mkono Tindu lissu siyo hawa kina Mrema wachumia tumbo,Mengine utashirikiana na akili yako
Chadema wakitaka kuzuia kura watumie kile kidude unacho dumbukiza kwenye sandaku la kura na kusababisha moto wawape wapiga kula wao 4000
 
Ninazuia na nitazuia uchaguzi haramu na batili kufanyika..
 
Nazani kutokana na histori ya chaguzi zetu za huko nyumu,uamuzi unao mwenyewe,
Tumeona uchaguzi wa 2020 Chadema wakipata Mbunge mmoja tu, Tanzania nzima,tumeona uchaguzi wa serikali za mitaa,naamini tunaitaji kumuunga mkono Tindu lissu siyo hawa kina Mrema wachumia tumbo,Mengine utashirikiana na akili yako
WanaCCM watapiga kura ila mimi.mda huo nitakuwa shambani.

Siwezi pigania Wanasiasa
 
Back
Top Bottom