Utasikia ooh dingi mnoko!✔

Utasikia ooh dingi mnoko!✔

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,147
Reaction score
14,699
Unamtumia baba yako meseji ukiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" Anakuuliza "pckt mny ndio nini?” Unamjibu ni kifupi cha "pocket money"

Baadaye anakutumia 10,000, unamuuliza hiyo hela ni ya nini? Anakwambia ni kifupi cha 100,000…

emoji125.png
emoji125.png
emoji125.png
emoji38.png
emoji38.png
emoji38.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Hapo ndo ujue jinsi gani vitu vifupi vinavyodharauliwa
 
hapo ndo unapojua wazee nouma sana aisee, ukifupisha anakufupisha pia
 
Back
Top Bottom