Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Unamtumia baba yako meseji ukiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" Anakuuliza "pckt mny ndio nini?” Unamjibu ni kifupi cha "pocket money"
Baadaye anakutumia 10,000, unamuuliza hiyo hela ni ya nini? Anakwambia ni kifupi cha 100,000…
Baadaye anakutumia 10,000, unamuuliza hiyo hela ni ya nini? Anakwambia ni kifupi cha 100,000…