linkoln1888
Member
- Jul 9, 2021
- 21
- 15
- Thread starter
- #41
Ingia tu kwenye ajira portal jaribu kuomba, kama unakidhi vigezo itakubali kama siyo itakataa, japo nasikia huwa kuna jinsi wengine wanafanyaga ikakubali hata kama ameover qualifyNaomba kuuliza, kwa mfano ajira imetoka inahitaji mtu wa form six lkn awe amepata mafunzo ya upigaji picha ndani ya hicho cheti cha form six, sasa mimi sina mafunzo ya upigaji picha ndani ya cheti cha form six ila nina diploma ya upigaji picha. Je kwenye usaili wakiniuliza mbona cheti changu cha form six hakina hayo mafunzo naweza kusema nina diploma hiyo.? na je wataweza kunikubali.?