linkoln1888
Member
- Jul 9, 2021
- 21
- 15
- Thread starter
-
- #41
Ingia tu kwenye ajira portal jaribu kuomba, kama unakidhi vigezo itakubali kama siyo itakataa, japo nasikia huwa kuna jinsi wengine wanafanyaga ikakubali hata kama ameover qualifyNaomba kuuliza, kwa mfano ajira imetoka inahitaji mtu wa form six lkn awe amepata mafunzo ya upigaji picha ndani ya hicho cheti cha form six, sasa mimi sina mafunzo ya upigaji picha ndani ya cheti cha form six ila nina diploma ya upigaji picha. Je kwenye usaili wakiniuliza mbona cheti changu cha form six hakina hayo mafunzo naweza kusema nina diploma hiyo.? na je wataweza kunikubali.?
Udanganyifu ni nini? kutoa taarifa za uongo ni nini? Kwenye kanuni za uendeshaji sekretariati ya ajira kifungu cha 37(1c), wanasheria tusaidieni, maana tusije ingia kwenye utumishi wa umma kimakosa
Boss, Bado hujaelewa nilichoulizaIngia tu kwenye ajira portal jaribu kuomba, kama unakidhi vigezo itakubali kama siyo itakataa, japo nasikia huwa kuna jinsi wengine wanafanyaga ikakubali hata kama ameover qualify
Iko hivi kabla ya usaili kuna ukaguzi wa vyeti na ikitokea huna cheti hata cha kuzaliwa huwezi fanya usaili ko huwezi na hutoweza Mkuu.Naomba kuuliza, kwa mfano ajira imetoka inahitaji mtu wa form six lkn awe amepata mafunzo ya upigaji picha ndani ya hicho cheti cha form six, sasa mimi sina mafunzo ya upigaji picha ndani ya cheti cha form six ila nina diploma ya upigaji picha. Je kwenye usaili wakiniuliza mbona cheti changu cha form six hakina hayo mafunzo naweza kusema nina diploma hiyo.? na je wataweza kunikubali.?
Boss, wewe pia hujaelewa swali languIko hivi kabla ya usaili kuna ukaguzi wa vyeti na ikitokea huna cheti hata cha kuzaliwa huwezi fanya usaili ko huwezi na hutoweza Mkuu.
Nimeelewa ila hakunaga huo muda wa ku discuss Qualification zako mkuu unapoitwa written utumishi vinaongea vyeti,na ukiitwa oral vinaongea vyeti na iko hivi kabla hujaingia kukutana na PANELIST siku ya oral basi vinaanza kuingia vyeti kwanza jamaa wako very strictly na hawanaga muda wa kupoteza cha kudiscuss nawewe nina uzoefu na hawa watu more than 11th interviews written na 6th oral.Boss, wewe pia hujaelewa swali langu
Kadi ya nida kama huna lkn namba unayo italeta shida.?Nimeelewa ila hakunaga huo muda wa ku discuss Qualification zako mkuu unapoitwa written utumishi vinaongea vyeti,na ukiitwa oral vinaongea vyeti na iko hivi kabla hujaingia kukutana na PANELIST siku ya oral basi vinaanza kuingia vyeti kwanza jamaa wako very strictly na hawanaga muda wa kupoteza cha kudiscuss nawewe nina uzoefu na hawa watu more than 11th interviews written na 6th oral.
Nakusisitiza ukikosa Qualification hata moja tu wanakuzuia hiyo hiyo siku ya written ila jaribu bahati yako.
NOTE; Nishawahi shuhudia jamaa akilalamika amewin interview phase zote ila tu alimiss cheti flani kule alipopangiwa kituo wakamwambia hatukuhitaji hauna vigezo rudi Utumishi tutawaambie watupangie mwenye vyeti husika.
Kila la kheri.
Kadi ya nida kama huna lkn namba unayo italeta shida?
Soma maswali na majibu ya Sekretariati ya ajira, lile swali la 4, kipengele cha VI. Hata mimi ni mgeni na haya mambo, ninajifunzaUdanganyifu ni pale unaposema umesoma wakat hujasoma au una sifa A lakin huna
Mtu mwenye degree anaweza kuomba kazi inayohitaji cheti cha form 4
Mtu mwenye cerrificate na degree ana uwezo wa kuomba kazi aidha ya degree au certificate. Hakuna tatizo... ili mradi awe amesoma na amefaulu.
Acha wivu
Zama hizi za ugumu wa ajira ni vema ukajiandaa kuwa na kila kitu kinachohitajikaKadi ya nida kama huna lkn namba unayo italeta shida.?