Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,496
- 7,162
Na kwa akili yako hiyo unadhani atamlea huyo mtoto au ataendelea kuharibu wengine?Acha hasira muacheni alee mwanaye, mkimfunga mtamlea nyie?!
Labda kama huyo mwalimu ni wewe hapo nitakuamini kuwa utalea huyo mtoto.
Sent using Jamii Forums mobile app