Utata alipo trafiki anayedaiwa kumpa mimba mwanafunzi

Angetaka kumlea asingekimbia! Kumbe kimemkimbiza nini!
Wananchi wenye hasira wanataka kumfunga miaka 30 jela, atakosa mke, atakosa kumlea mwanaye. na upande wa Mke atamkosa mumewe, na Mtoto atamkosa baba yake.
Sasa Angalia hiyi circle ya shida nani ata beba?
 
Hilo traffic ni lizee, lina miaka mitatu listaafu! Mbaya zaidi kaungua!
Nauona uchungu wako, naanza kujenga hoja kwa kutheorize kuwa mama hana mume wa kudumu; mama ana marafiki ambao si baba wa mtoto; mama pamoja na kazi ya upolisi hana muda wa kutosha kukaa na binti yake. Hili ni fundisho kwa dada zangu wanaoitwa ‘single mums’ kujiheshimu mbele ya binti zao ili wasiwe mifano mibaya kwa mabinti kupelekea Just 13 years kuanza mambo ya kikubwa. Mbona mabinti tunao wa 30 years bado wanajitunza pamoja na shape na uzuri wao? Ukifuatilia determining factor ni kujitunza (usiri mkubwa) wa mama yake
 
Wananchi wenye hasira wanataka kumfunga miaka 30 jela, atakosa mke, atakosa kumlea mwanaye. na upande wa Mke atamkosa mumewe, na Mtoto atamkosa baba yake.
Sasa Angalia hiyi circle ya shida nani ata beba?
Huyo traffic ana mke na watoto, tena Sio mke mmoja wawili!
Huyo mtoto alompa mimba hawezi kuwa mkewe!
Akamalizie miaka yake gerezani huko
 
Nauona uchungu wako, naanza kujenga hoja kwa kutheorize kuwa mama hana mume wa kudumu; mama ana marafiki ambao si baba wa mtoto; mama pamoja na kazi ya upolisi hana muda wa kutosha kukaa na binti yake. Hili ni fundisho kwa dada zangu wanaoitwa ‘single mums’ kujiheshimu mbele ya binti zao ili wasiwe mifano mibaya kwa mabinti kupelekea Just 13 years kuanza mambo ya kikubwa. Mbona mabinti tunao wa 30 years bado wanajitunza pamoja na shape na uzuri wao? Ukifuatilia determining factor ni kujitunza (usiri mkubwa) wa mama yake
Kwanza kabisaa mamake sio polisi!! Babake ndo polisi! Mama ni mfugaji yupo nyumbani saa 24, swala la malezi ni la kwetu sote! Mama mzazi na jamii ukiwepo wewe!
Ushahidi ulioko kwenye simu unaonyesha mtoto alikuwa akiitwa usiku wakati wazazi washalala, anaingia nyumba ya jirani ya huyo traffic!
Sasa je, ambao tunategemewa kuwalinda hawa watoto ndo tunawatumia, hawa watoto tuwafiche wapi?!
 
Kamanda mwenyewe ni walewale maana anaulizwa anasema alitingwa na mambo mengine seriously?

Sent from my iPhone using Tapatalk
Hiki kikombe kikimpata mtu ndo atajua uchungu wake!! Mambo mengine hilo lilikuwa ni kumweka ndani huku uchunguzi ukiendelea! Mpaka ametoroka ni uzembe mkubwa sana
 
Back
Top Bottom