Utata alipo trafiki anayedaiwa kumpa mimba mwanafunzi

Una maw

Una mawazo finyu kama kichwa cha mpanzi.Kwa sababu ni askari wafanye kazi ya kudanganya watoto? ama kweli wanalinda raia na mali zao.Halafu wanafichana.Nampongeza aliyesema tupate picha yake humu tumtafute wenyewe.Kashfa hiyo
Kwani aliyepewa Mimba hana picha ya mpenzi wake? Nyie mnamtafuta ili mpate nini kwake? Mwenye bwana anafahamu alipo.
 
Kumsumbua??

Apigwe mvua 30 kama wengine!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha achene hasira, akipigwa mvua 30 motto mtalea nyie?! Sasa mnataka kumkosesha motto baba, na mama mnamkosesha bwana au mume, kumlea mke hamtaki, kumlea na kumpa motto mahitaji kwa hiyo miaka 30 hamtaki lakini mmekomaa mnataka afungwe miaka 30.

Mumuache aoe, alee na mwanaye.

Kwasababu huyo binti sasa ni mama, haruhusiwi kusoma kwa sharia zetu, na haruhusiwi kuolewa kwa sharia zetu, na motto ndio huyo, mnataka kumpotezea baba, achene zenu hizo.
 
Huyo wa kike, "age of consent" Tanzania ilikuwa ni miaka 14, lini ilibadilishwa?

Mimi huwa nashangaa zaidi vitoto vya kiume vya miaka hiyo kubeba simu janja! Wanapewa na nani? Wazazi wao au mabazazi?
 
Halafu huyo binti ataitwa "single mother"?

Huyo "solution" ni ndoa tu akalee wote wawili.
 
Huwa nashangaa sana ikiwa mtu anashindwa jizuia kwa vitoto hivi ilikhali akijua kuwa kuzini na mwanafunzi ni sawa na kuzini na moto,tamaa usipoziongoza haya ndo matokeo yake,maisha ya uraiani ni matamu sana,sasa huyu rafiki amechagua kuishi kama mbayu watu,OK simlaumu ila tamaa hizi hupelekea majuto,kazi hana na bado jera yamsubiri,Mungu amsaidie asitiwe nguvuni maana kama ni kosa lilishafanyika tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha achene hasira, akipigwa mvua 30 motto mtalea nyie?! Sasa mnataka kumkosesha motto baba, na mama mnamkosesha bwana au mume, kumlea mke hamtaki, kumlea na kumpa motto mahitaji kwa hiyo miaka 30 hamtaki lakini mmekomaa mnataka afungwe miaka 30.

Mumuache aoe, alee na mwanaye.

Kwasababu huyo binti sasa ni mama, haruhusiwi kusoma kwa sharia zetu, na haruhusiwi kuolewa kwa sharia zetu, na motto ndio huyo, mnataka kumpotezea baba, achene zenu hizo.
Fuata sheria bila shuruti...

Mtoto wa 14...hata aibu hana?

Kama alikuwa na nia ya kulea na kuoa angetumia njia halali sio ujinga huo!

Huyo ni bazazi muharibifu tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha achene hasira, akipigwa mvua 30 motto mtalea nyie?! Sasa mnataka kumkosesha motto baba, na mama mnamkosesha bwana au mume, kumlea mke hamtaki, kumlea na kumpa motto mahitaji kwa hiyo miaka 30 hamtaki lakini mmekomaa mnataka afungwe miaka 30.

Mumuache aoe, alee na mwanaye.

Kwasababu huyo binti sasa ni mama, haruhusiwi kusoma kwa sharia zetu, na haruhusiwi kuolewa kwa sharia zetu, na motto ndio huyo, mnataka kumpotezea baba, achene zenu hizo.
Sheria ndivyo ilivyo. Mvua thelathini bila parole. Ila kiukweli sheria hii inawaadhibu na wale wasio husika. Mtoto hana kosa lakini atakosa malezi ya baba. Binti naye atapata mateso ya kumlea huyo mtoto wakati hana uwezo. Babu na Bibi watahangaika kulea binti yao na mimba yake, na baadae kuwalea binti na mjukuu wao. Huo sasa umekuwa mtego wa panya. Wanaingia waliomo na wasiokuwemo.
 
shamba la bwana Heri,mahindi ya bwana Heri,na mbuzi aliyekula mahindi ni wa bwana Heri. Hamna kesi
Ndo sababu jamaa kapotelea kusikojulikana. Asubuhi katika magazeti walisema bosi kajificha kwenye kichaka cha kudanganywa na wasaidizi wake. Tunasubiri kuona nini kinaendelea.
 
Sheria ndivyo ilivyo. Mvua thelathini bila parole. Ila kiukweli sheria hii inawaadhibu na wale wasio husika. Mtoto hana kosa lakini atakosa malezi ya baba. Binti naye atapata mateso ya kumlea huyo mtoto wakati hana uwezo. Babu na Bibi watahangaika kulea binti yao na mimba yake, na baadae kuwalea binti na mjukuu wao. Huo sasa umekuwa mtego wa panya. Wanaingia waliomo na wasiokuwemo.
hivi huwa wanapima DNA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi huwa wanapima DNA?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo nalo ni swali la kutufikirisha. Kuna vibinti ambavyo vimekuwa virukanjia. Kwa hali hiyo anakuwa hana uhakika nani kampa huo ujauzito. Ili kuepuka dhahama hii humchagua mmojawapo wa hao anaowafahamu na kumpachika huo mzigo. Je, kuna uhakika gani kuhusu baba halisi wa mtoto atakayezaliwa kama hakuna kipimo chochote kilochofanyika? Ni wazi kipimo cha DNA ni muhimu katika kutoa utambuzi wa muhusika halisi ujauzito huo.
 
kweli aisee,kuna watu wanaweza wakawa wamefungwa kimakosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kanyoosha mkono usawa wa ghetto Kama vile yupo barabaran anavyosimama Katikati ya barabara na kukwambia upaki pembeni dogo kazama gheto kwa kutokupinga amri halali ya serikali

Sent from my TECNO LC6 using Tapatalk
 
Mkatae mkubali watoto wengi wa police ni wachafu wa tabia Tena wale wa linepolice majanga kabsa eg tunda sasa sijui uhuru umezidi

Sent from my TECNO LC6 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom