Utata alipo trafiki anayedaiwa kumpa mimba mwanafunzi

Utata alipo trafiki anayedaiwa kumpa mimba mwanafunzi

Huyo wa kike, "age of consent" Tanzania ilikuwa ni miaka 14, lini ilibadilishwa?

Mimi huwa nashangaa zaidi vitoto vya kiume vya miaka hiyo kubeba simu janja! Wanapewa na nani? Wazazi wao au mabazazi?
Una kabinti cha umri huo kanakosoma shule? je ! siku ukikuta kuna linjemba limekatia mimba wewe utafurahia? au unakomaa na nini kitabu cha dini yako chenye kutumia sheria za kiarabu zilizopitwa na wakati kinasemaje? je! uliwahi kupitia herufi kwa herufi sheria ya elimu inasemaje?
 
Mimi nagota hapo kwenye mawasiliano ya mtoto na askari, na mama anathibitisha kuwa alinunuliwa simu na huyo askari, hivi huyo mama mnasubiri nini kumshugurikia??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'Anayetuhumiwa kumjaza mimba mtoto mwenye umri wa miaka 14 wa askari mwenzake.'

Ni tatizo la kifamilia hilo(Trafiki kwa Trafiki).,watamalizana wenyewe.

dodge
Ni aina ya visasi tu mkuu huyu mwenye mtoto inawezekana alimgongea jamaa mke yeye akijiapiza atamzalisha mwanae na kweli ameharibu alichokosea hakufanya kwa wakati sahihi

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Ficha upumbavu wako usifiche hekima zako.
Unatoa wapi guts za kumuita mwenzako mpumbavu ikiwa hakumtaja mtu jina hapo?kuna wakati huwa unazingua sana wewe bimkubwa

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Mimi labda ni mshamba ,je mtoto wa darasa la saba kumpa simu ni maendeleo au ni ushamba. Maana sijaona mantiki. Kuna ndugu yangu mtoto wake alikua anakaa kwangu akiwa form one baba yake alimnunulia simu ,lakini usiku mpaka saa 8 anaongea na wanaume . Nikamwambia baba yake ,unamharibu mtoto anaongea na wanaume muda wote. Baba akawa haelewi ila nikaonekana mbaya. Nikawaachia ,kilichomkuta baba yake na mtoto ndio wanajua,walitaka kunihusisha nikawakatalia. Jamani angalieni na pyschological maturity ya mtoto kabla ya kumpa simu. hata kama hukai naye ,tafuta njia nyingine.Simu kama zinavunja ndoa za watu wazima ,je vitoto vya miaka 14 itakuaje

mkuu, umeongea maneno ya maana sana lakini naomba nitoe nyiongeza au kukukosoa kidogo kutoka kwenye stori yangu
mi nilipewa simu nikiwa darasa la 7 na laptop , na nilisoma vizuri mpaka chuo kikuu, mtoto wa kike ndiye hafai kupewa simu, mimi yangu niliitumia kusoma habari mitandaoni na kucheza games japo na nilikua nikichati na binti mmoja ambaye tulikua darasa moja, she is the love of my life ,mpaka leo, na asingekuepo kwenye maisha yangu huenda leo ningeshakuaga kichaa kutokana na kuvuta bangi na madawa ya kulevya kama vijana wengine wafanyavyo wakati wa matatizo, maana she was always there for me during my darkest hours ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah umefikiria kwa mapana zaidi mkuu.

Safi sana.
Ni aina ya visasi tu mkuu huyu mwenye mtoto inawezekana alimgongea jamaa mke yeye akijiapiza atamzalisha mwanae na kweli ameharibu alichokosea hakufanya kwa wakati sahihi

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk

dodge
 
Naona traffic alikuwa anajaribu kula tunda kimasihara akasahau kutumia mpira
 
Una maw

Una mawazo finyu kama kichwa cha mpanzi.Kwa sababu ni askari wafanye kazi ya kudanganya watoto? ama kweli wanalinda raia na mali zao.Halafu wanafichana.Nampongeza aliyesema tupate picha yake humu tumtafute wenyewe.Kashfa hiyo
Mkipata picha yake mnishtue Mkuu!
 
mkuu, umeongea maneno ya maana sana lakini naomba nitoe nyiongeza au kukukosoa kidogo kutoka kwenye stori yangu
mi nilipewa simu nikiwa darasa la 7 na laptop , na nilisoma vizuri mpaka chuo kikuu, mtoto wa kike ndiye hafai kupewa simu, mimi yangu niliitumia kusoma habari mitandaoni na kucheza games japo na nilikua nikichati na binti mmoja ambaye tulikua darasa moja, she is the love of my life ,mpaka leo, na asingekuepo kwenye maisha yangu huenda leo ningeshakuaga kichaa kutokana na kuvuta bangi na madawa ya kulevya kama vijana wengine wafanyavyo wakati wa matatizo, maana she was always there for me during my darkest hours ,

Sent using Jamii Forums mobile app
Upupu
 
Back
Top Bottom