UTATA: Huenda kiongozi mkuu wa Hamas aliuawa na maafisa wa Iran?

Mkuu ndivyo ilivyokuwa! Kwa maelekezo ya Mosaid.
 
Hawa usalama wa Taifa hawa
Ngoja wafukuzwe wote nasema woootee maana ni mwendo wa kufukuza tu sasa timu zote
 
Binadamu ni kiumbe complex sana. Ukute amri ilitoka kwa Ayatola BAADA ya kutokukubaliana mambo flani flani.
 
Kuna mtu huko amewashtukia Iran
 
Israel imeleta maumivu makali kwa walamba viatu vya Ayatollah nawaza vile watauwana kiasi chakuisambaratisha serikali yenyewe namuonea huruma Rais wa Taifa Hilo ambaye alikuwa na sera ya mapatano japo imegeuka shubiri. Nidhahiri shahiri Iran uwenda ikasambaratika Russian wakiona mwisho wataifa lao huku kiduku akichungulia kaburi ktk umri mdogo. Nadhani kwa sasa Putin anaona uwezo wakijasusi wa Marekani ni wa level yahatari kuwahi kifikiwa. Putin hakujuwa kile kitatokea. Siku chache baada yakukutana na kiduku hali yake imekuwa mbaya zaidi kiasi anajuta kukutana na kiduku gari alilotoa kama Zawadi tayari linashukiwa kuwa na sumu yaani nihatari huku Mchina akimuonya kidugu akae mbali na Putin back channel akapuuza. 😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…