Utata juu ya mahusiano ya mapenzi kati ya Rick Ross na Hamisa Mobetto

Utata juu ya mahusiano ya mapenzi kati ya Rick Ross na Hamisa Mobetto

Yani unaumiaa,mwanzo nilidhani kweli ulitaka kuelewa lakini kwa post hii,wewe ni kati ya Wanaume wanaomuonea wivu Hamisa, reymage njoo uone mwingine huyu hapa anateseka na penzi la Hamisa kwa Richforever
Mimi sihusiki, nawakilisha mawazo ya shabiki
 
Hivi karibuni ukurasa wa Hamisa Mobetto Instagram umedhihirisha kuwa mwanamtindo huyo yupo karibu sana na Rick Ross.

Hamisa Mobetto amekuwa akichapisha picha na video fupi zikionesha wawili hao wakiwa kwenye kumbi tofauti za starehe huku wakionesha ishara ya mapenzi

Shabiki wa Rick Ross na Hamisa Mobetto wamekuwa wakijiuliza kuwa mahusiano ya wawili hawa ni batili kwasababu hawajaona kurasa za Rick Ross Instagram, Facebook na Twitter zikichapisha picha, video au taarifa yeyote inayohusiana na Hamisa Mobetto.

Wengine wamedai kuwa Hamisa Mobetto ndiye anayelazimisha mapenzi kati yake na Rick Ross ndio maana Hamisa Mobetto amekua akichapisha habari za upande wa pili huku Rick Ross akiwa kimya.

Wengine wamedai kuwa Rick Ross ana mchezea Hamisa Mobetto ndio maana hajachapisha habari yeyote juu yao na kama angekuwa anamthamini Hamisa Mobetto basi angekuwa mstari wa mbele kudhihirishia ulimwengu kuwa yupo kwenye mahusiano kama wanaume wanavyokuwa mstari wa mbele kuonesha mahusiano yao.

Je wewe una mawazo gani juu ya mahusiano haya?

View attachment 2025148
A self motivated dream come true from a woman. Hamisa kajilengesha bure kwa Rick, kaliwa kutimiza ndoto zake na Ross amemthaminisha dats why kamla.ntakukula bila promo is it ok? Yeah its over.
 
Rick tozii afunguliwe kesi ya ubakaji weee jibaba kama yy anakulaje vitoto kias hiki
LiSquare_20211127224824853.jpg
 
Waende Shade Room Rick Ross amemfanya Hamisa ajulikane na watu wengi duniani.

Hapa wameshindwa kabisa wakosoe kwa lipi,maana wameona Ross kampandia denge mtoto all the way from Paris to Dubai kwa ajili ya Hamisa tu.Ila Dunia hii,usiongee ukamaliza yote,kila nikikumbuka zile kashfa za Watandale na Baby Mama wa kwa Madiba kisha nikaona hii picha hapa chini,nabaki kucheka tu.
IMG_3207.png
 
Vijana UMASIKINI ni mbaya sanaa.


UMASIKINI unafanya vijana, waone kama Hamisa Mobeto...anafaidi kuliwa na RickR !!!!

[emoji3][emoji3] ukweli ulio mchungu sana kwa vijana wengi hasa wanao comment kwa uzi huu wakiwa wamejawa makasiriko
 
[emoji3][emoji3] ukweli ulio mchungu sana kwa vijana wengi hasa wanao comment kwa uzi huu wakiwa wamejawa makasiriko
Huo ndo ukweli Jombaaa... vijana maisha yamechapa mnooo .

Hapo anataman hata siku moja nayeye angekua anamla HM, lkn kwakua ni umasikini , anabakia kumuita HM MALAYA.

nawaambieni, HM ni mwanamke mzuri kweli kweli , ana jina kubwa, ni mpambanaji.

Mwisho wa siku nayeye ni mwanamke, ANAHITAJI DUNIA YA MAHABA.

Kwahiyo adate na kapuku ndo mseme sio Malaya????

Au mnataka awe bila mwanaume ????

NAWAAMBIENI, HATA RICK R, LEO AMTEME MOBETO, BADO MOBETO, ATABAKI KUA MWANAMKE ANAYEHITAJI MWANAUME .
 
Hivi karibuni ukurasa wa Hamisa Mobetto Instagram umedhihirisha kuwa mwanamtindo huyo yupo karibu sana na Rick Ross.

Hamisa Mobetto amekuwa akichapisha picha na video fupi zikionesha wawili hao wakiwa kwenye kumbi tofauti za starehe huku wakionesha ishara ya mapenzi
Dada zetu nanyi punguzeni kudanga,sasa huyu binti simple kabisa!what does she have on her name!!?ni msanii!? Hapana !mfanyabiashara!!big no!mwanasiasa!!nope!

So what does she bling on the table!! To catch Rick Ross!???
This guy is just using her as a loose girl!!
 
Back
Top Bottom