Mk54
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,996
- 3,950
1. Kifo cha JPM ni fumbo tata na kina maswali mengi kuliko majibu.
2. Baada ya kifo cha JPM, hata zile kelele za Corona this Corona that hatuzisikii tena, badala yake maisha yanaenda kama kawaida....kwa wenye kutafakari hii inatupa TAFSIRI kubwa sana.
3. Mradi wa Bagamoyo ambao unapigiwa debe kwa sasa ni miongoni mwa miradi ambayo ndani yake ulikuwa na vipengele ANGAMIZI kwa taifa la Tanzania. JPM aliusimamisha mradi huu pamoja na miradi mingi ya NSSF kwa kushirikiana na wataalam wake na miongoni mwa hao wataalam ni hawa wanaopigia debe mradi huu kwa sasa.
4. Sisi kama wananchi, Tulitarajia kuona maelezo ya awali kutoka kwa SPIKA kwanini mradi huu ulisimamishwa kama ulikuwa na TIJA katika taifa.
5. Kwa nini hili linakuja ikiwa ni siku chache tu baada ya kifo cha JPM , suala hili linajadiliwa kwa kasi bila ya kuweka Terms za Procuring entity dhidi ya Supplier, miradi ya awamu ya nne chini ya Dau , ilikuwa ni miradi Fakamizi ya kunyonya taifa kwa kushirikiana na Chinese.
6. Spika ametoa hutuba yake kuwa hakuna anaetaka kuunza nchi. Well, fine ;
Why did he jump into that conclusion wakati wananchi wanahitaji kuelewa kwanza[emoji845]this is very immature.
There is something fishy nyuma ya hii ishu na kuna watu wanaanza kujisogeza kwenye position zao japo wapo kimya.
7. Tunajua mradi huu ulikuwa ni dili la awamu ya 4 na serikali ya China ambapo kwa sasa ameshaanza kujisogeza baada ya kifo cha JPM.
Kwa taratibu za manununzi zipi zilitumika kumpata mchina ? au mwingine yoyote. Tanzania ya leo Ina wasomi hatuhitaji huu upuuzi hata.
View attachment 1760388
Tunajua Report ya CAG inayotolewa sasa ni mpango mkakati wa kuua Legecy ya JPM; kuna Mtanzania aliyesoma CAG report ya 2013/2014. Pitieni huko kwanza nchi ilishaoza na kutoa funza. Tanzania ilianza kupata heshima kama nchi katika utawala wa JPM.
Mwisho, Mradi ujadiliwe kwa mapama na uwazi tena na watu ambao ni brained sio hao wasanii na form 4 leavers waliojazana mjengoni.
Hakuna sababu za kuharakisha kwa hii kasi inayokuja kwa sasa.
Huenda ikawa ni HASARA nyingine kwa taifa
——