infinix2020
Member
- Dec 30, 2020
- 79
- 153
Kufanya mambo mazuri yenye kupendeza wananchiKuupiga mwingi ina maanisha nn mkuu, naona linatumima sana ila sijawah lipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuupiga mwingi ni kufanya jambo kwa usahihi kama watu walivo tegemeaKuupiga mwingi ina maanisha nn mkuu, naona linatumima sana ila sijawah lipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kumwaga pesa barabaraniKuupiga mwingi ina maanisha nn mkuu, naona linatumima sana ila sijawah lipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Amesikia kilio gani? Mwigulu Nchemba wacha kumshusha hadhi raisi kuwa hajui kilichofanyika, yaani Raisi wa nchi hakujua kuwa kuna Tozo itapitishwa? Like serious?Uchafu wote anaujua maana yeye ndiyo mwenyekiti wa baraza la mawaziri
Jamaa boya sn hiliAmesikia kilio gani? Mwigulu Nchemba wacha kumshusha hadhi raisi kuwa hajui kilichofanyika, yaani Raisi wa nchi hakujua kuwa kuna Tozo itapitishwa? Like serious?
View attachment 1860032
Maadui wakubwa wa taifa letu ni:-
- Mwigulu Nchemba
- katiba ya mwaka 1977
- CCM
Hahahahaaa sasa huyu mbona anapoteanaMkuu kuupiga mwingi ni kufanya jambo kwa usahihi kama watu walivo tegemea
Atoke Tegeta kwetu, akakae kwenye mawe aliyojichora na kuniandika barabarani“Wakinipenda Yanga na wanaIramba inatosha” - Mwigulu Nchemba 2021