Namimi naamini hili.Wala hakusoma huo muswada, alisaini tu baada ya kupewa maelezo ya juu juu
Mi nimetafakari kwa kina sana ila nimeshindwa kupata jibu. Yafuatayo najiuliza
1. Mh. Rais alisaini au hakusaini hiyo sheria ya TOZO mpya?
2. Kama alisaini, je alikuwa anapima upepo wa wananchi?
3. Je, ni political tension?
4. Je, itakuwa imemuongezea asilimia za kuupiga mwingi?
Kama kuna mtu anaweza kuongeza maswali na majibu.
Asante.
unakomaa unapata hewa watu toka tozo mpya zianze wameacha kurusha hela jaribu kuuliza wa mpesa, tigo nk watakwambia jinsi walivyopigwa.Mtu anaona bora ampe bodaboda aipeleke na nyingine unaweka ndani ya kilo ya sukari unampa konda tayari umetumaHuu ni udhaifu,mimi ningekomaa na hakuna ningebadilisha,Nchi haiwezekani kwenda kwa kubembeleza walipa kodi
Hilo la maeneo ya Mjini linajulikana but huwezi mpa bodaboda kwenda mkoani na huko ndiko kwenye pesa nyingi lazima utarysha tuu.unakomaa unapata hewa watu toka tozo mpya zianze wameacha kurusha hela jaribu kuuliza wa mpesa, tigo nk watakwambia jinsi walivyopigwa.Mtu anaona bora ampe bodaboda aipeleke na nyingine unaweka ndani ya kilo ya sukari unampa konda tayari umetuma
Majibu wanayo wa Mpesa, tigo nk, hauwez kufuta ajira za watu ghafla namna hii.Hilo la maeneo ya Mjini linajulikana but huwezi mpa bodaboda kwenda mkoani na huko ndiko kwenye pesa nyingi lazima utarysha tuu.
Afu msikariri hiyo biashara ya uwakala by 2025 itakuwa imekufa tafuteni Kazi nyingine ya kufanya
Mkuu, You're bright .Hao ndio wanasiasa
Kuupiga mwingi ina maanisha nn mkuu, naona linatumima sana ila sijawah lipata
Sent using Jamii Forums mobile app