Utata juu ya Rais Samia kuingilia kati tozo mpya za miamala

Kinachobadilika ni kanuni, sheria ipo palepale.......viwango vya tozo vinakuwa ndani ya jedwali na hivyo huweza kubadilishwa na waziri.
 
Rais anamamlaka ya kusitisha sheria flani isitumike ..kwa mji wa katiba ...like late Magufuli alivyositisha sheria ya kikokotoo kipya kutumika
 
Kuna mda katiba inakua nzuri kuna muda inakua mbaya,,,hebu imagine ufutaji wa sheria hii ingehitaji Bunge ku-reconvene tena ?
 
Haajatoa tamko ka kusitisha ila wamesikia kilio watakaa kujadili.
 
Huu ni udhaifu,mimi ningekomaa na hakuna ningebadilisha,Nchi haiwezekani kwenda kwa kubembeleza walipa kodi
 
Rais anamamlaka ya kusitisha sheria flani isitumike ..kwa mji wa katiba ...like late Magufuli alivyositisha sheria ya kikokotoo kipya kutumika
Rais Magufuli alisitisha kanuni iliyokuwa imeleta hicho kikokotoo kipya, hakikuwa kimewekwa kwenye sheria (correct me if I'm wrong) sina uhakika kama Rais ana mamlaka ya kusitisha sheria kufanya kazi...kama inawezekana naomba unisaidie kunionyesha ni wapi mamlaka hayo yameainishwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…