Utata Kati ya Haji Manara na Ali Kamwe: Hofu na Athari za Uamuzi wa Kurejea kwa Manara kama Msemaji wa Yanga

Yanga hakuna nafasi inayoitwa msemaji wa club.Yanga INA of is a ha bar I ma Man ara hajawahi kushika nafasi hiyo.
Ni sahihi. Ally ni afisa habari ataenda kutoa habari za Yanga na Manata yeye ni mtu wa hamasa.

Mkumbusheni Haji kuwa yeye sio Msemaji wala Afisa habarinwa Yanga. Aache drama.
 
Ni wakati wa vyura kuandamwa na matukio hadi muite Yanga "Ana". Huku Magoma anapiga hivi, kule White anapiga vile. Ikipoteza mechi mbili tatu timu inapoteana mazima hii, tunaijua vizuri. Wataanza kuchapana bakora pale utopoloni sio poa
 
Ali Kamwe ni meneja wa Idara ya habari na mawasiliano ya Yanga ambacho ndicho cheo cha juu kwenye idara ya habari.

Manara ni mhamasishaji ambaye yupo chini ya meneja Ali Kamwe.

Hata Manara angekuwa msemaji bado yupo chini ya meneja maana meneja ndiyo boss wa msemaji na mhamasishaji.

Na sidhani kama hata cheo cha usemaji kama bado kipo maana klabu zimehamia kwenye idara ya habari na mawasiliano ambayo huongozwa na Meneja.
 
Hapa mkuu umemaliza kila kitu kuhusu huyu takadini
 
Manara ni bomu...linasubiri kulipuka...Yanga keep entertain him..
 
Hii Dunia ukiwa fala , hufosi mambo hufanikiwi ng'o.
Watu wa kariba ya Manara hufanikiwa sana
 
Wamuachie kijana aliyepo aendelee na kazi yake. Anaitendea haki. Manara muda wake ulikuwepo na umeshakwenda. Aache wengine nao wafanye waende.
 
Mimi nina suluhisho ambalo najua ndiyo njia pekee ya kuepusha mgogoro huu unaochipuka ila sitalisema, nataka wavurugane huko kusikalike kabisa.
 
hersi legacy and friends will end with manara involvement.

am waiting for yanga decision to take Hersi down if manara is back in this club. we can't have incompetence in a successful path.

Hersi ajichanganye , he will create more enemies
Hata mimi naungana na wewe, hii takataka yao waipeleke GSM wakampe kazi huko.

Yanga Ally Kamwe anatosha.
 
Mimi nina suluhisho ambalo najua ndiyo njia pekee ya kuepusha mgogoro huu unaochipuka ila sitalisema, nataka wavurugane huko kusikalike kabisa.
Hakuna suluhisho lolote, who is Manara?

Hatumtaki fullstop.
 
Anataka kumnyang'anya Ali kamwe ulaji Kwa nguvu?wanayanga hatutakubali
 
Mkija kulimaliza hili suala msimu umeisha hapo mmeishia makundi CAFCL na kwenye NBC mtakuwa mnapambania nafasi ya pili na Azam.
Amka utajikojolea, yani huyu mla mirungi ndio aiondowe Yanga kwenye focus yake?

You must be joking.
 
Nadhani kama ni lazima arudi yanga basi wamtafutie kitengo kingine kwenye idara ya habari na sio usemaji..wakimuondoa au kumshusha Kamwe haitopendeza kabisa italeta bifu btn them, na kuathiri kazi, na hata usaliti kwa club kuzaliwa
 
Hakuna sababu ya Manara kuwa na ajira Yanga.

Timu inapata hasara, haina sababu ya kuwa na lundo la staff wapiga domo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…