Utata Kati ya Haji Manara na Ali Kamwe: Hofu na Athari za Uamuzi wa Kurejea kwa Manara kama Msemaji wa Yanga

Utata Kati ya Haji Manara na Ali Kamwe: Hofu na Athari za Uamuzi wa Kurejea kwa Manara kama Msemaji wa Yanga

Ali Kamwe ni meneja wa Idara ya habari na mawasiliano ya Yanga ambacho ndicho cheo cha juu kwenye idara ya habari.

Manara ni mhamasishaji ambaye yupo chini ya meneja Ali Kamwe.

Hata Manara angekuwa msemaji bado yupo chini ya meneja maana meneja ndiyo boss wa msemaji na mhamasishaji.

Na sidhani kama hata cheo cha usemaji kama bado kipo maana klabu zimehamia kwenye idara ya habari na mawasiliano ambayo huongozwa na Meneja.
Yanga hakuna hicho cheo cha usemaji.

Kuna mwenezi (Kindoki) na Mkurugenzi wa mashabiki (Ibra Samwel)
 
Back
Top Bottom