The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,748
- 3,229
Ukiangalia kwa makini uta gundua hapo hakuna mgogoro wala matata, ila kuna mtu ana force mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi awe Msemaji wa GSM.Boss wake ni GSM na sio Yanga.
Yanga hakuna hicho cheo cha usemaji.Ali Kamwe ni meneja wa Idara ya habari na mawasiliano ya Yanga ambacho ndicho cheo cha juu kwenye idara ya habari.
Manara ni mhamasishaji ambaye yupo chini ya meneja Ali Kamwe.
Hata Manara angekuwa msemaji bado yupo chini ya meneja maana meneja ndiyo boss wa msemaji na mhamasishaji.
Na sidhani kama hata cheo cha usemaji kama bado kipo maana klabu zimehamia kwenye idara ya habari na mawasiliano ambayo huongozwa na Meneja.