Utata katika Rapidshare, MegaUpload, Kaspersky, AVG na Antivirus mbalimbali

Utata katika Rapidshare, MegaUpload, Kaspersky, AVG na Antivirus mbalimbali

Lazydog,

Mathalani nilipokua najaribu ku-download ile Nero nilipata msg kua
windows haiwezi kufungua file (it doesn't support the file or something like that) na ikaniprompt ku-browse help.

Once I did that nikapata ujumbe kua niende kwenye website ya RAR kudownload ishu nyengine kibao.Then I stopped kisha nikaja humu kuitafuta usaidizi.I will try again kisha niwape the msg itelf or the link of where it sent me.

Invisible once again, I say thank you for your efforts in this.

Mkuu, ipo WinRAR software hapa JF. Search and you'll get it
 
mimi naomba kuuliza tu, hivi hawa watu wa kapersky wanajua au hawajui kwamba software yao watu wanaifyatua na wametoa onyo lolote kwa wateja?, na je upi utibitisho kwamba hii antivirus uliyotutumia bwana invisible inafanya kazi kama kapersky original?, tusije tukainstall na maconfidence yote kumbe hiyohiyo ikawa ni agent wa virus
naomba kuelimishwa tafadhali
Mkuu gamba la nyoka,

Wanajua kuwa tunawaibia na kila siku wanaweka watu wa kukagua wizi huo. YES, kila kitu online inabidi kiwe BURE. Wanajua kuwa hatulali tukifikiria namna ya kuwaibia. Tukiiba wakagundua ndipo wana-blacklist keys zilizoibiwa na wakifanya hivyo wengine tunakesha tukitafuta namna ya kukwepa vigingi.

Asikudanganye mtu, antivirus niliyoiweka ndiyo YENYEWE na sipendi kuwalengesha wadau hivi hivi kwani hata ukiangalia wakati ina-download updates angalia links za files zinatoka wapi ili kukupa uhakika.

DO NOT be fooled by anyone over this, wizi upo na wizi wa vitu kama hivi kwa makampuni makubwa kama Kaspersky au Norton ni cha mtoto... Wanatambua kuwa tupo wenye shida na wengine hata kama hatuna shida tunapenda kuwasumbua tu kwa kuiba kazi zao ili wahangaike zaidi kutafuta suluhu ya kazi.

Aidha kuna WARNING naenda kutundika kwenye post ya SteveD kwakuwa nimegundua alichoandika kitawagharimu.

Thanks,

Invisible
 
Ab-Titchaz na wengine, kama kuna file unalihitaji na unataka kulipata kutoka kwenye sharings za Rapidshare, nenda kwenye:

http://www.RSFIND.com


SteveD.


SteveD,
Umewahi kutumia service ya hiyo website? I think it is a bad website.
They want us to download a program first. This is not a good thing kwa mazingira ya site yenyewe yalivyo.

Nilipo-click START immediately Antivirus yangu ime-detect multiple viruses. "START" yenyewe ilikuwa imefichwa.



Anyway, you may want to use another approach to find and get files from RapidShare.
Kwenye google, suppose you want to find Photoshop, type the following:
photoshop site:rapidshare.com
...kama hujaelewa bofya hapa.


You use that search technique to search only within one specific website. Just replace photoshop with what you want to find.




.
 
Ab-Titchaz na wengine, kama kuna file unalihitaji na unataka kulipata kutoka kwenye sharings za Rapidshare, nenda kwenye:

http://www.RSFIND.com


SteveD.
WARNING:

Ab-Titchaz and others, DO NOT use the link provided by SteveD above, you'll be prompted to install a certain Software so that you can download files and they're good in convincing.

It's a very small file and will be a Setup.exe file. Once starting Installation YOU HAVE NO WAY TO STOP IT while it's installing the following files:

AdWare.Win32.180Solutions.ax
and
AdWare.Win32.Shopper.v

Kwa wale wenye antivirus dhaifu kama AVG Free wataona kila kitu swafi... Kifupi hao wanakuwa wanaingia kwenye pc yako na kufanya mnada ndani ya pc yako!

MAELEZO KIDOGO:

AdWare.Win32.180Solutions.ax

Description:

Threat Alias
Adware.ZangoSearch [Symantec]
Adware.180Solutions!sd5 [PC Tools]
Adware.Zango_Search_Assistant [PC Tools]
Adware-ZangoSA [McAfee]
Spyware.Seekmo_Search_Assistant [PC Tools]

Adware (or Spyware) defines a specific group of Trojans, which tries to spy your privacy or annoy you with advertisings. Adware usually doesn't destroy or manipulate files on your computer. Adware may collect your personal or your computer's information in some cases.

a-squared currently detects the following types of Adware:

Adware or Ad Supported Software

Adware describes usually pieces of Software which are included or bundled with programs as plugins to show ads. But besides showing harmless ads, they may collect user relevant information with or without asking the user. Most adwares send the collected user information to a central server to maximize the advertising effect. Some of them are using cookies to trace the visited websites of the user.

HiJacker

HiJackers are pieces of software which hijack other programs to use their rights or change their behaviour. HiJackers manipulate e.g. the browser's search- and home-page defaults or redirect specific website request to other webservers. Some HiJackers manipulate websites you are visiting.

PopUp Trojans

PopUp Trojans are Spyware programs which infiltrate your system and annoy you with popup advertisting windows and messages.

Spyware

Spyware collects information which is used to create a user profile. This profile can but need not include personal information. In many cases the user profile only includes information about the computer system, like:

- Operating System details
- Information about other installed programs
- Hardware information like CPU, Memory, Video and Sound Card details
- Internet connection details
- Hardware drivers information
- Other collected information

This can be more or less anonymously, but the software may send this information hidden without the user's knowledge to a server which collects it.

not-a-virus:AdWare.Win32.180Solutions.ax [Kaspersky Lab] has the following possible country of origin:

canada.gif
CANADA

Hiyo virus nyingine (au Adware as you may call it) pia ni zao la Zango.

Heri nimewambia!

Code:
Zango.setup
</pre>
 
SteveD,
Umewahi kutumia service ya hiyo website? I think it is a bad website.
They want us to download a program first. This is not a good thing kwa mazingira ya site yenyewe yalivyo.

Nilipo-click START immediately Antivirus yangu ime-detect multiple viruses. "START" yenyewe ilikuwa imefichwa.
.
lazydog,

Napenda vichwa kama wewe. Unashtuka mapema... Hiyo ni mbaya sana. Hata kutumia Google kwenda kuchukua files katika RS ni hatari kwa pc yako. Wote waliotengeneza njia hizo wanafanya biashara na Zango.

Nimetumia muda mwingi kujaribu kutafuta how do they do it nikagundua wameingia mkataba na jamaa wa Zango ambao inaonekana ni Premium Members wa RS lakini wanafanya biashara na web owners kadhaa kuingiza mihela!

Incredible 🙂
 
lazydog,

Napenda vichwa kama wewe. Unashtuka mapema... Hiyo ni mbaya sana. Hata kutumia Google kwenda kuchukua files katika RS ni hatari kwa pc yako. Wote waliotengeneza njia hizo wanafanya biashara na Zango.

Nimetumia muda mwingi kujaribu kutafuta how do they do it nikagundua wameingia mkataba na jamaa wa Zango ambao inaonekana ni Premium Members wa RS lakini wanafanya biashara na web owners kadhaa kuingiza mihela!

Incredible 🙂
.... "nizabe nikuzabe" goes a long way, doesn't it?!

.... if you use a computer 24 -7 and don't know how to debug a minor problem then get a genuine software to protect you!

.... kama hutaki kuumwa na mbu, nunua chandarua - tena kile kilichotibiwa kwa dawa!

.... software za kukinga computer zetu zisiingiwe na madudu ni kitu muhimu na chenye kuchukua priority ya juu as long as tunategemea hizi computer kufanya kazi zetu.

.... hivi mmeshawahi kuniona mimi nimelalamika hapa jamvini kuhusiana na software zingine zozote zile? Binadamu tuna mipaka yetu, wengine wanaweza kuendelea kutafuta 'chandarua cha kuazima' ili kujikinga, miye mpaka wangu kuhusiana na 'mbu' ni kujinyima na kukusanya vijisenti vya kununulia 'chandarua' kipya!

Invisible na Lazydog, kuhusu zango, that is something obvious.. same applies to megaupload na sharing utilities nyingine mbalimbali zilizopo mtandaoni... .i did not post the link to rapsharefind.com not knowing that there are other issues to do with it...if anything to regret- then it is my disregard to describe that service thoroughly.

if you are wiling to spend good enough time to circumvent software keys and are desperate to get an antivirus program to protect you, then IN MY OPINION ni mtu ambaye hujali computer yako.

hassle ambayo mtu utapata kukimbia kimbia kutafuta key mpya is not worth it at all kwa program isiyozidi dolla 30.

The bottom line naomba wenzangu mnielewe ni kwamba, uamuzi wa mtu kufanya kitu ni wake mwenyewe. Hapa tupo kushauriana na kupeana opinion. Hoja zina jadilika kwa hoja. Na kwenye mambo ya ICT, kila mmoja wetu ana opinion zake kulingana na ujuzi wake, mapendeleo yake na uwezo wake.

Mimi kama nyie tu wenzangu, nami hutafuta software mbalimbali na kwa njia mbali mbali - za bure, za kutungua, za kununua, n.k. Saa nyingine kwa nia ya kujaribu tu...
Basi nikitoa hoja na msimamo wangu kwenye hili swala la antivirus... ni kwamba mimi nitatafuta za bure au nitajinyima na kununua - na huu ni msimamo wangu kuhusiana na antivirus programs. Natumaini nimeeleweka. Naishia hapa, ahsanteni.

SteveD.
 
Invisible, SteveD & lzy dog..
Nawashukuru sana kwa kujitolea kutuelimisha kuhusiana na mabo haya yanayohusu softwares etc.
Wakuu keep it up, pamoja na wengine ambao sikuwataja kwa majina.

Thanks!
 
Nini tatizo la Megaupload....kuna mtu yoyote kaathirika na megaupload?
 
Nini tatizo la Megaupload....kuna mtu yoyote kaathirika na megaupload?

Mimi sijaathirika na Megaupload, ila nafikiri ukifuata maelezo muhimu niliyochagua kutoka katika tovuti yao hutapata shida.

Usage

The basic service is available for free and allows users to upload files of up to 1024 MB. Free users cannot download files larger than 1 GB, however. Free registered users are offered 50 GB of total file storage. Premium users are offered 1 TB total file storage. After a successful file upload, the user is given a unique URL which allows others to download the file.

Any file uploaded anonymously will expire if there are no downloads for at least 21 days. For free registered accounts, the expiration period is at least 90 days of inactivity, which can be manually reset. Premium accounts have no expiration period as long as the user remains a premium member.

Users must fill a text-based CAPTCHA when downloading a file. Non-registered users await 45 seconds in the download queue (registered users still have to wait 25 seconds) and 360 minutes between transfers after a certain amount of megabytes has been downloaded (100–200 MB).

Paying users get a premium account with a wider range of privileges.[2]

Note that even paying members do not get a direct hotlink for non-paying members to upload. Non-members trying to download your uploaded file are forced to Megaupload's site and have to wait 45 seconds to initiate a download.

MD5 Checks

MegaUpload employs MD5 to identify and avoid the storage of duplicated files. [3] A master server stores MD5 hashes along with their server numbers. When a file is uploaded through Mega Manager, a query to the master server with its hash is sent before any data. If a match is found, the file is not uploaded again. This was discovered by deliberately uploading two files with different content but colliding MD5 hashes. Only the file which was uploaded first remained in the server.

Attempts to upload the second file failed because Megaupload regarded it as an exisiting file. This showed that MD5 is not reliable to identify files as unique; therefore a second hash such as SHA1 should be used.

Megaupload Toolbar

Megaupload has released a toolbar for both Microsoft Internet Explorer 6+ and Mozilla Firefox 1.0+. This toolbar allows a user to gain premium access for a short period of time every day between 9:00 PM and 3:00 AM Eastern time. The toolbar also claims to give double download points for every file that is uploaded with the toolbar, but this feature has never been proven.

http://www.megaupload.com/

Kila la kheri!
 
.... if you use a computer 24 -7 and don't know how to debug a minor problem then get a genuine software to protect you!

...Natumaini nimeeleweka.

Hapana hujaeleweka.

What if you use a computer 24-7 and you actually know how to debug a minor problem?
 
ndugu: nimejaribu ku-update nimefanikiwa ila baada ya kumaliza ku-update Kaspersky imeblock my network hivyo siwezi tumia internet kwenye computer yangu.naomba mnipe ushauri wenu tafadhali ?
 
Ndugu yangu Invisible mbona nimedownload lakini nimekuta (aqua-smiles-xp folder na muziki wa miaka nenda rudi) kwenye hiyo zip file?ambayo sikukuta application uliyosema ndani yake?
 
Invisible
Na mimi pianaitaka Karpesky.

Nitaipataje?
 
jamani hiyo KEY mlio tuwekea hapo juu ina virusi trojan nimejaribu kui-unzip avast ika-delete yote kwani ina virus.Invisible Kaspersky imeblock my network yangu,naomba msaada tafadhali.
 
Hapana hujaeleweka.

What if you use a computer 24-7 and you actually know how to debug a minor problem?

---then you wouldn't have a minor problem!

---Kwa wote ambao sikueleweka mniwie radhi, nitarudia hapa chini kwa kifupi.

Ni kwamba, ukiwa na software ya "kutungua" ambayo ume-install kwenye computer yako lakini software hiyo umuhimu wake ni ule wa kukupatia kinga kwenye hiyo computer yako, basi ni muhimu software hiyo ikawa genuine ili uwe na kinga thabiti.

Sababu inayonipelekea miye kusema hivyo ni kutokana na hali halisi kuwa, software za kinga, antivirus/antispyware kufanyakazi kwake kunategemea zaidi updated virus/malware definition. Na kawaida ya hizi updated definitions kupatikana ili zitumike na hiyo program uliyonayo na wewe uwe na hiyo kinga mbadala, hiyo program inahitaji ku-communicate na servers za waliotengeneza au wanaouza software hiyo. Na katika kufanya hivyo mara nyingi servers zao hu-check kama software unayotumia ni ya halali au "umeitungua."

Kasheshe au dhamana unayoweza kuipata kwa matumizi hayo na lengo lako la kuikinga hiyo computer basi iko juu yako. Natumaini nimeeleweka.

Ahsanteni.

SteveD.
 
SteveD, Invisible and Lazydog

....siku zote huwa najiuliza....inakuwaje Norton, MaCFee, AVG ndio popular......juzi juzi Invisible umetuwekea&#8230;&#8230;..Kaspersky Internet Security 2009&#8230;&#8230;&#8230;sasa hapo sijui SteveD unasemaje&#8230;&#8230;&#8230;

Mkuu Invisible hii Kaspersky Internet Security 2009, inakuwaje &#8230;&#8230;&#8230;..maana SteveD ametupa changamoto&#8230;&#8230;&#8230;kwamba mtu unaweza pata kibano,&#8230;.nafikri itakuwa vema mtu uki-install software za "kutungua"....&#8230;..kwenye computer isiyo na mtandao&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;.
&#8230;.binafsi ninayo MacFee.....&#8230;I paid for it "sijaitungua"&#8230;&#8230;.lakini watu wengi wa ICT wamenishauri kuwa haifai&#8230;&#8230;&#8230;.
 
Zamani sana niliwahi liwadokeza watu hapa kuhusu hii RS invisible akawatisha eti ina virus loh leo na yeye anaipigia debe!

Anyway tujenge tabia ya kununua software tuache haya mambo ya cracked software.
 
Zamani sana niliwahi liwadokeza watu hapa kuhusu hii RS invisible akawatisha eti ina virus loh leo na yeye anaipigia debe!

Anyway tujenge tabia ya kununua software tuache haya mambo ya cracked software.

kwa wale wanaopenda nakala (craked) za application, games, E-books, videos, and much more tembelea hii url http://www.phazeddl.com:rolleyes: hakikisha uko secured unaeza gongana na virus

Wewe mwenyewe unasema huko kwenye link yako kuna virusi, halafu unalaumu ilivyotahadharishwa na mwingine kwamba ni kweli kuna virusi. Duuh!

Halafu, kabla ya kutushauri tununue software, kwanza tuambie kwamba sasa umebatizwa kwa maji na moto, au umesomewa dua ya al-Sajjadiyya na Istighfaar ya toba au epiphany yeyote uliyopata na sasa hufanyi uliyokuwa unayafanya zamani. Vinginevyo unakuwa unajipingapinga. Au kibaya zaidi.

By the way, site ya cracks unayoipigia debe wewe ambayo imetahadharishwa kwamba ina wadudu sio RP. Kwa hiyo, zaidi ya kujipingapinga naombea tuwe hatukabiliani na kutosema kweli pia.
 
SteveD, Invisible and Lazydog

....siku zote huwa najiuliza....inakuwaje Norton, MaCFee, AVG ndio popular......juzi juzi Invisible umetuwekea&#8230;&#8230;..Kaspersky Internet Security 2009&#8230;&#8230;&#8230;sasa hapo sijui SteveD unasemaje&#8230;&#8230;&#8230;

Mkuu Invisible hii Kaspersky Internet Security 2009, inakuwaje &#8230;&#8230;&#8230;..maana SteveD ametupa changamoto&#8230;&#8230;&#8230;kwamba mtu unaweza pata kibano,&#8230;.nafikri itakuwa vema mtu uki-install software za "kutungua"....&#8230;..kwenye computer isiyo na mtandao&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;.
&#8230;.binafsi ninayo MacFee.....&#8230;I paid for it "sijaitungua"&#8230;&#8230;.lakini watu wengi wa ICT wamenishauri kuwa haifai&#8230;&#8230;&#8230;.

Mkuu Ogah, kama unaweza kununua nyingineyo, basi kwa maoni yangu ni bora kununua hiyo Kaspersky. Ina review nzuri sana pahala pengi.

Norton inajulikana kutokana nakuwa antivirus ya zamani sana kama siyo ya kwanza kwenye PC market. Nakumbuka Norton ya kwanza niliyotumia ilikuwa kwenye floppy diskette zile za inch 5'4 early nineties !! Plus wamekuwa na strategy nzuri na uongozi mzuri kuweza kudumu muda wote huu.

McAffee nao wako juu sana kutokana na marketing campaign zao. Miye nadhani wamejulikana zaidi baada ya kuwa wanagawa licence za bure as part of purchase bundle za miezi 6-6 kwa users wanaonunua computer mpya kutoka kwa reputable vendors. Hivyo baada ya muda wa miezi sita kuisha, mtu analazimika tu kuendelea nayo kwa kununua salio.

AVG nao wamejulikana nafikiri kutokana na strategy yao ya ku-offer a free alternative for home users. Plus campaign ads zao kwenye net na magazeti. Kingine nadhani wanaushirikiano mzuri sana na freelance software developers. Sina uhakika sana na parent company inayo own AVG.

Kaspersky kwa kweli naona hawajitangazi. Situmii software yao, ila kutokana na reviews nilizoona, ninauhakika are good at what they do - protecting computers! Hata hivyo kuna gazeti moja hivi karibuni nimeona wameanza campaign. Plus hypes kama hizi kutoka mitandaoni, nina uhakika come 2009 september, watakuwa wanajulikana sana kwa average computer user au antivirus seeker.


SteveD.
 
Back
Top Bottom