Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 236
Kasper 2009 sio antivirus nzuri kusema za ukweli ingawa ina features nyingi hazijaweza kutatua matatizo sugu ya virus pamoja na spyware unashauriwa uende kwa mcafee na norton hata avg kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shy nafikiri antvirus nyingi si kwamba zinauwezo wa kuondoa kila virus. Lakini tunaangalia efficiency ya software.Kasper 2009 sio antivirus nzuri kusema za ukweli ingawa ina features nyingi hazijaweza kutatua matatizo sugu ya virus pamoja na spyware unashauriwa uende kwa mcafee na norton hata avg kidogo
Kasper 2009 sio antivirus nzuri kusema za ukweli ingawa ina features nyingi hazijaweza kutatua matatizo sugu ya virus pamoja na spyware unashauriwa uende kwa mcafee na norton hata avg kidogo
Utani mwingine kama kweli vile...Unajua kuna watu watachukua ulabu kwanza kabla hawajaangalia ishu
nyengine kibao?...sio anti-virus tu.Hata dawa za matibabu mtu ana-debate
between that and getting beer...lakini kama wasemavyo waswahili,
Naomba tuwe wangalifu na maandiko yetu "Je unauhakika yule aliyekuwa amelewa chakari ndie huyo huyo anaesema hawezi kununua, mbona "unageneralise" tu. Wengine wana pata mtandao makazini kwao bure lakini vipato vyao ni kidogo. Unaposema priorities hii sio piriority kwake, akikosa hafi akikosa ugali atakufa.
Pili wengi hawa wa hizi "online downloads" wanataka ulipe kwa Credit Cards American Express, VISA n.k. si kila mtu ana uwezo au rafiki mwenye hizi kadi. Cha kufanya wape msaada utakao wasaidia na sio kuwasagia tu. Wewe unakula ukashiba ujue si wote wanakula wakashiba!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hebu changia wapateje hizo bure, na ndio maana walioziweka waliweka, au sivyo??????????
.... "nizabe nikuzabe" goes a long way, doesn't it?!
.... if you use a computer 24 -7 and don't know how to debug a minor problem then get a genuine software to protect you!
.... kama hutaki kuumwa na mbu, nunua chandarua - tena kile kilichotibiwa kwa dawa!
.... software za kukinga computer zetu zisiingiwe na madudu ni kitu muhimu na chenye kuchukua priority ya juu as long as tunategemea hizi computer kufanya kazi zetu.
.... hivi mmeshawahi kuniona mimi nimelalamika hapa jamvini kuhusiana na software zingine zozote zile? Binadamu tuna mipaka yetu, wengine wanaweza kuendelea kutafuta 'chandarua cha kuazima' ili kujikinga, miye mpaka wangu kuhusiana na 'mbu' ni kujinyima na kukusanya vijisenti vya kununulia 'chandarua' kipya!
Invisible na Lazydog, kuhusu zango, that is something obvious.. same applies to megaupload na sharing utilities nyingine mbalimbali zilizopo mtandaoni... .i did not post the link to rapsharefind.com not knowing that there are other issues to do with it...if anything to regret- then it is my disregard to describe that service thoroughly.
if you are wiling to spend good enough time to circumvent software keys and are desperate to get an antivirus program to protect you, then IN MY OPINION ni mtu ambaye hujali computer yako.
hassle ambayo mtu utapata kukimbia kimbia kutafuta key mpya is not worth it at all kwa program isiyozidi dolla 30.
The bottom line naomba wenzangu mnielewe ni kwamba, uamuzi wa mtu kufanya kitu ni wake mwenyewe. Hapa tupo kushauriana na kupeana opinion. Hoja zina jadilika kwa hoja. Na kwenye mambo ya ICT, kila mmoja wetu ana opinion zake kulingana na ujuzi wake, mapendeleo yake na uwezo wake.
Mimi kama nyie tu wenzangu, nami hutafuta software mbalimbali na kwa njia mbali mbali - za bure, za kutungua, za kununua, n.k. Saa nyingine kwa nia ya kujaribu tu...
Basi nikitoa hoja na msimamo wangu kwenye hili swala la antivirus... ni kwamba mimi nitatafuta za bure au nitajinyima na kununua - na huu ni msimamo wangu kuhusiana na antivirus programs. Natumaini nimeeleweka. Naishia hapa, ahsanteni.
SteveD.
Nakuunga mguu kwa 100% ktk hili la free antivirus. Kuna post aliiweka Invisible ya Keyloggers. nami nillipost mtazamo wangu hasa kuhusiana na usalama wa PC zetu na hizi free antivirus/spyware/ad ware .n.k kuwa kwa ushauri na mtazamo wa kitaalamu hazifai kwa usalama wa computer zetu.
Lakini inaonekana watz tunapenda sn dezo hata kwa usalama wetu wenyewe, ndio yaleyale "mke wa bush anakuja kugawa vyandarua vya mbu kwa watz".
Hebu tutumie akili zetu za kuzaliwa; Unanunua Computer ya laki 5 au 6 n.k; kwa nini ushindwe kununua mlinzi wa computer yako kwa fedha isiyozidi laki 1? huu ni ubahili gani????
Mchelea mwana kulia hulia yeye!!!!!
Jamani hivi mme test hizo software au twapiga kelele tu...mie niko na kaspersky hapa na key ya Invisible na nina peta kama kawaida...key inauzwa dola 30.Sio mbaya kwa kununua...ila kama nimeweza kutumia hiyo ya mkuu Invisible na haijawa blacklisted why should i buy?Test ikishindikana go and buy.
The same mbona mnasema tunapenda vya bure mbona mnaenda kwenye request what u need?Mbona tunamuomba kilogwe material?Je uko tuna nunua?Invisible anatuwekea vitabu,software tunadownload then tunakuja piga kelele uko ohh watanzania twapenda vya bure...koma.Tunaweka na qoutes hapa za kiswahili pls tufanye nini turidhike?Ungepata nafasi wapi ya kuongea haya?
JF ni kama familia..moja kubwa....wacha tusaidia...na sio kwa sababu unapata nafasi ya ku type basi unata kuonekana una mawazo...wakati huo huo unaomba vya bure...c'mon.Mie niko willing kusaidia lolote kwa free kama ninacho...hata kama nimenunua.
Jioni Njema
Buswelu