Lazydog,
Mathalani nilipokua najaribu ku-download ile Nero nilipata msg kua
windows haiwezi kufungua file (it doesn't support the file or something like that) na ikaniprompt ku-browse help.
Once I did that nikapata ujumbe kua niende kwenye website ya RAR kudownload ishu nyengine kibao.Then I stopped kisha nikaja humu kuitafuta usaidizi.I will try again kisha niwape the msg itelf or the link of where it sent me.
Invisible once again, I say thank you for your efforts in this.
Mkuu gamba la nyoka,mimi naomba kuuliza tu, hivi hawa watu wa kapersky wanajua au hawajui kwamba software yao watu wanaifyatua na wametoa onyo lolote kwa wateja?, na je upi utibitisho kwamba hii antivirus uliyotutumia bwana invisible inafanya kazi kama kapersky original?, tusije tukainstall na maconfidence yote kumbe hiyohiyo ikawa ni agent wa virus
naomba kuelimishwa tafadhali
Ab-Titchaz na wengine, kama kuna file unalihitaji na unataka kulipata kutoka kwenye sharings za Rapidshare, nenda kwenye:
http://www.RSFIND.com
SteveD.
photoshop site:rapidshare.com
WARNING:Ab-Titchaz na wengine, kama kuna file unalihitaji na unataka kulipata kutoka kwenye sharings za Rapidshare, nenda kwenye:
http://www.RSFIND.com
SteveD.
Description:
Threat Alias
Adware.ZangoSearch [Symantec]
Adware.180Solutions!sd5 [PC Tools]
Adware.Zango_Search_Assistant [PC Tools]
Adware-ZangoSA [McAfee]
Spyware.Seekmo_Search_Assistant [PC Tools]
Adware (or Spyware) defines a specific group of Trojans, which tries to spy your privacy or annoy you with advertisings. Adware usually doesn't destroy or manipulate files on your computer. Adware may collect your personal or your computer's information in some cases.
a-squared currently detects the following types of Adware:
Adware or Ad Supported Software
Adware describes usually pieces of Software which are included or bundled with programs as plugins to show ads. But besides showing harmless ads, they may collect user relevant information with or without asking the user. Most adwares send the collected user information to a central server to maximize the advertising effect. Some of them are using cookies to trace the visited websites of the user.
HiJacker
HiJackers are pieces of software which hijack other programs to use their rights or change their behaviour. HiJackers manipulate e.g. the browser's search- and home-page defaults or redirect specific website request to other webservers. Some HiJackers manipulate websites you are visiting.
PopUp Trojans
PopUp Trojans are Spyware programs which infiltrate your system and annoy you with popup advertisting windows and messages.
Spyware
Spyware collects information which is used to create a user profile. This profile can but need not include personal information. In many cases the user profile only includes information about the computer system, like:
- Operating System details
- Information about other installed programs
- Hardware information like CPU, Memory, Video and Sound Card details
- Internet connection details
- Hardware drivers information
- Other collected information
This can be more or less anonymously, but the software may send this information hidden without the user's knowledge to a server which collects it.
not-a-virus:AdWare.Win32.180Solutions.ax [Kaspersky Lab] has the following possible country of origin:
CANADA
Zango.setup
lazydog,SteveD,
Umewahi kutumia service ya hiyo website? I think it is a bad website.
They want us to download a program first. This is not a good thing kwa mazingira ya site yenyewe yalivyo.
Nilipo-click START immediately Antivirus yangu ime-detect multiple viruses. "START" yenyewe ilikuwa imefichwa.
.
.... "nizabe nikuzabe" goes a long way, doesn't it?!lazydog,
Napenda vichwa kama wewe. Unashtuka mapema... Hiyo ni mbaya sana. Hata kutumia Google kwenda kuchukua files katika RS ni hatari kwa pc yako. Wote waliotengeneza njia hizo wanafanya biashara na Zango.
Nimetumia muda mwingi kujaribu kutafuta how do they do it nikagundua wameingia mkataba na jamaa wa Zango ambao inaonekana ni Premium Members wa RS lakini wanafanya biashara na web owners kadhaa kuingiza mihela!
Incredible 🙂
Nini tatizo la Megaupload....kuna mtu yoyote kaathirika na megaupload?
.... if you use a computer 24 -7 and don't know how to debug a minor problem then get a genuine software to protect you!
...Natumaini nimeeleweka.
Invisible
Na mimi pianaitaka Karpesky.
Nitaipataje?
Hapana hujaeleweka.
What if you use a computer 24-7 and you actually know how to debug a minor problem?
Zamani sana niliwahi liwadokeza watu hapa kuhusu hii RS invisible akawatisha eti ina virus loh leo na yeye anaipigia debe!
Anyway tujenge tabia ya kununua software tuache haya mambo ya cracked software.
kwa wale wanaopenda nakala (craked) za application, games, E-books, videos, and much more tembelea hii url http://www.phazeddl.com:rolleyes: hakikisha uko secured unaeza gongana na virus
SteveD, Invisible and Lazydog
....siku zote huwa najiuliza....inakuwaje Norton, MaCFee, AVG ndio popular......juzi juzi Invisible umetuwekea……..Kaspersky Internet Security 2009………sasa hapo sijui SteveD unasemaje………
Mkuu Invisible hii Kaspersky Internet Security 2009, inakuwaje ………..maana SteveD ametupa changamoto………kwamba mtu unaweza pata kibano,….nafikri itakuwa vema mtu uki-install software za "kutungua"....…..kwenye computer isiyo na mtandao………….
….binafsi ninayo MacFee.....…I paid for it "sijaitungua"…….lakini watu wengi wa ICT wamenishauri kuwa haifai……….