UTATA: Kazi ya kampuni mkataba miaka miwili 50 milioni versus laki 7 serikalini mkataba wa kudumu

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Ungelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili
Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu
Najiamini naweza kufanya biashara.

Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi za short term lakini vijana wanakimbilia serikalini.

👉huwa sijui ni kwanini ni uoga? wakuogopa kujiajiri.

👉Kuna advantage gani watu wakimbilie kwenye laki 7??

Mchanganuo! Kwa miaka miwili 50M ni Sawa na, (take home)
2,083, 333. 33 Kila mwezi kwa miezi 24(2 years)

Lakini 700,000(take homex24 moths/2years (16,800, 000).

Karibu kwa maoni na michango.
 
  • Thanks
Reactions: apk

Kuna watu wakishakula maisha yao yanaisha
 
Health insurance, retirement (NSSF ... etc), stability, networking, urahisi wa mikopo.
 
Tatizo sio pesa tatizo presha ya kuzipata hizo pesa huwa kubwa sana kwa watu wenye mioyo miepesi
 
Ungelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili
Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu
Najiamini naweza kufanya biashara.

Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi za short term lakini vijana wanakimbilia serikalini.

👉huwa sijui ni kwanini ni uoga? wakuogopa kujiajiri.

👉Kuna advantage gani watu wakimbilie kwenye laki 7??

Mchanganuo! Kwa miaka miwili 50M ni Sawa na, (take home)
2,083, 333. 33 Kila mwezi kwa miezi 24(2 years)

Lakini 700,000(take homex24 moths/2years (16,800, 000).

Karibu kwa maoni na michango.
Shida ni kwamba una passion na biashara? Mana hiyo milioni 50 miaka miwili haiwez kutoka yote. Ukijichanga sana utatoka na milioni 30-34 unaanza upya. Unaanza kufanya biashara swala je, una passion nayo? Hii milion 30 mbona serikalin ungekopa benki na kufanya biashara huku unaendelea kujipanga na mshahara wako
 
Serikalini hawaishi kwa mshahara, kuna kete nyingi zinasukumwa kabla ya mshahara kuingia kingi, plus dhamana ya serikali ukitaka kukopa.
 
Hiyo kazi ya miaka miwili ikisha mkononi una 20M tu, Mwaka 1 mbele ju ulianza biashara huna uzoefu nayo, chali, wa laki saba anadunda, alikopa benki biashara ikafa, after 5 years anakopa tena akiwa kajua wapi alikosea.
Wewe mda huo unatafuta pa kujitolea ulipwe laki 2 jumlisha stress na Depression unakufa kabla ya 50 years.
 
🤣Mbona mkuu kama unaishi kiuoga una amini kwenye kufail tu
 
Kujiajiri sio swala ambalo kila MTU analiweza .

Unahitajika kuwa na entrepreneur mind set zaidi .

Kuna watu hiyo 700K inawatosha na wanaona bora 700K ya uhakika.
Sasa DR HAYA LAND kwanini kama Ana mtu Ana Entrepreneurship spirit basi afanye (recruiting personnel with entrepreneur skills na atumie mbinu ya "salary motivation"
 
Mimi mbon sizionagi zikwapi maana ninahamu mno na iyo 50m for 2 ea
 
Ungelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili
Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu
Najiamini naweza kufanya biashara.

Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi za short term lakini vijana wanakimbilia serikalini.

👉huwa sijui ni kwanini ni uoga? wakuogopa kujiajiri.

👉Kuna advantage gani watu wakimbilie kwenye laki 7??

Mchanganuo! Kwa miaka miwili 50M ni Sawa na, (take home)
2,083, 333. 33 Kila mwezi kwa miezi 24(2 years)

Lakini 700,000(take homex24 moths/2years (16,800, 000).

Karibu kwa maoni na michango.
Inategemea na mtu ana kiu ya mafanikio kiasi gani. Watanzania wengi ni watu wa Laissez-faire, yaani wanapenda kazi ambayo anakua ni mpasha-joto kiti tu, mwisho wa mwezi anapokea mshahara wake, basi. No innovation, no goals, no efficiency.
 
Ungelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili
Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu
Najiamini naweza kufanya biashara.

Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi za short term lakini vijana wanakimbilia serikalini.

👉huwa sijui ni kwanini ni uoga? wakuogopa kujiajiri.

👉Kuna advantage gani watu wakimbilie kwenye laki 7??

Mchanganuo! Kwa miaka miwili 50M ni Sawa na, (take home)
2,083, 333. 33 Kila mwezi kwa miezi 24(2 years)

Lakini 700,000(take homex24 moths/2years (16,800, 000).

Karibu kwa maoni na michango.
Take home yahuyo anaechukua mil 50 for two years kama hata hana heslb haizid 1.6M per month.
 
Hiyo kazi ya miaka miwili ikisha mkononi una 20M tu, Mwaka 1 mbele ju ulianza biashara huna uzoefu nayo, chali, wa laki saba anadunda, alikopa benki biashara ikafa, after 5 years anakopa tena akiwa kajua wapi alikosea.
Wewe mda huo unatafuta pa kujitolea ulipwe laki 2 jumlisha stress na Depression unakufa kabla ya 50 years.
Mkuu acha uoga wa maisha kuanguka kupo tu hata ukiwa serikalini.
 
Back
Top Bottom