- Thread starter
- #21
Hakuwa na heslb
Take home yahuyo anaechukua mil 50 for two years kama hata hana heslb haizid 1.6M per month.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Take home yahuyo anaechukua mil 50 for two years kama hata hana heslb haizid 1.6M per month.
Inategemea unamaanisha nini unaposema "kujielewa"Bado sio sababu zakumpeleka mtu anaejielewa GOV.
wapenda kukopa utawajua tu 😂Serikalini hawaishi kwa mshahara, kuna kete nyingi zinasukumwa kabla ya mshahara kuingia kingi, plus dhamana ya serikali ukitaka kukopa.
Kumbe ni dhahania nikajua Kuna kazi unaomba ushauri,mpaka hapo hakuna maana ya mada Yako maana ni stori ya kutunga.Ungelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili
Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu
Najiamini naweza kufanya biashara.
Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi za short term lakini vijana wanakimbilia serikalini.
👉huwa sijui ni kwanini ni uoga? wakuogopa kujiajiri.
👉Kuna advantage gani watu wakimbilie kwenye laki 7??
Mchanganuo! Kwa miaka miwili 50M ni Sawa na, (take home)
2,083, 333. 33 Kila mwezi kwa miezi 24(2 years)
Lakini 700,000(take homex24 moths/2years (16,800, 000).
Karibu kwa maoni na michango.
🤣Kumbe ni dhahania nikajua Kuna kazi unaomba ushauri,mpaka hapo hakuna maana ya mada Yako maana ni stori ya kutunga.
Unaota wewe itakua ndio yule muuguzi kule Morogoro hujatokea miaka 2 kufanya kazi hospitalini na mshahara ulikua unalipwa km kawaida hapa juzi wamekufukuza yaan ushakula sana mshahara ushapata mtaji ndio wamekufukuza na kuahidi hautoajiriwa popote serikalini wewe na kizazi chako mshapigwa mstari mwekundu serikaliniMchanganuo! Kwa miaka miwili 50M ni Sawa na, (take home)
2,083, 333. 33 Kila mwezi kwa miezi 24(2 years)
Lakini 700,000(take homex24 moths/2years (16,800, 000).