Kuna watu wakishakula maisha yao yanaishaUngelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili
Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu
Najiamini naweza kufanya biashara.
Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi za short term lakini vijana wanakimbilia serikalini.
👉huwa sijui ni kwanini ni uoga? wakuogopa kujiajiri.
👉Kuna advantage gani watu wakimbilie kwenye laki 7??
Mchanganuo! Kwa miaka miwili 50M ni Sawa na, (take home)
2,083, 333. 33 Kila mwezi kwa miezi 24(2 years)
Lakini 700,000(take homex24 moths/2years (16,800, 000).
Karibu kwa maoni na michango.
Health insurance, retirement (NSSF ... etc), stability, networking, urahisi wa mikopo.Ungelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili
Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu
Najiamini naweza kufanya biashara.
Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi za short term lakini vijana wanakimbilia serikalini.
👉huwa sijui ni kwanini ni uoga? wakuogopa kujiajiri.
👉Kuna advantage gani watu wakimbilie kwenye laki 7??
Mchanganuo! Kwa miaka miwili 50M ni Sawa na, (take home)
2,083, 333. 33 Kila mwezi kwa miezi 24(2 years)
Lakini 700,000(take homex24 moths/2years (16,800, 000).
Karibu kwa maoni na michango.
Shida ni kwamba una passion na biashara? Mana hiyo milioni 50 miaka miwili haiwez kutoka yote. Ukijichanga sana utatoka na milioni 30-34 unaanza upya. Unaanza kufanya biashara swala je, una passion nayo? Hii milion 30 mbona serikalin ungekopa benki na kufanya biashara huku unaendelea kujipanga na mshahara wakoUngelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili
Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu
Najiamini naweza kufanya biashara.
Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi za short term lakini vijana wanakimbilia serikalini.
👉huwa sijui ni kwanini ni uoga? wakuogopa kujiajiri.
👉Kuna advantage gani watu wakimbilie kwenye laki 7??
Mchanganuo! Kwa miaka miwili 50M ni Sawa na, (take home)
2,083, 333. 33 Kila mwezi kwa miezi 24(2 years)
Lakini 700,000(take homex24 moths/2years (16,800, 000).
Karibu kwa maoni na michango.
🤣Mbona mkuu kama unaishi kiuoga una amini kwenye kufail tuHiyo kazi ya miaka miwili ikisha mkononi una 20M tu, Mwaka 1 mbele ju ulianza biashara huna uzoefu nayo, chali, wa laki saba anadunda, alikopa benki biashara ikafa, after 5 years anakopa tena akiwa kajua wapi alikosea.
Wewe mda huo unatafuta pa kujitolea ulipwe laki 2 jumlisha stress na Depression unakufa kabla ya 50 years.
Sasa DR HAYA LAND kwanini kama Ana mtu Ana Entrepreneurship spirit basi afanye (recruiting personnel with entrepreneur skills na atumie mbinu ya "salary motivation"Kujiajiri sio swala ambalo kila MTU analiweza .
Unahitajika kuwa na entrepreneur mind set zaidi .
Kuna watu hiyo 700K inawatosha na wanaona bora 700K ya uhakika.
Maisha mkuu, watu saivi mbio za utajiri hatuna tena, tunataka ugali usikatike tu mezani basi.🤣Mbona mkuu kama unaishi kiuoga una amini kwenye kufail tu
🤣Sasa mkuu mkuu. Hizo zipo sana kwa kweny Plc chache na miproject ya ujenz hiiMimi mbon sizionagi zikwapi maana ninahamu mno na iyo 50m for 2 ea
Inategemea na mtu ana kiu ya mafanikio kiasi gani. Watanzania wengi ni watu wa Laissez-faire, yaani wanapenda kazi ambayo anakua ni mpasha-joto kiti tu, mwisho wa mwezi anapokea mshahara wake, basi. No innovation, no goals, no efficiency.Ungelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili
Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu
Najiamini naweza kufanya biashara.
Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi za short term lakini vijana wanakimbilia serikalini.
👉huwa sijui ni kwanini ni uoga? wakuogopa kujiajiri.
👉Kuna advantage gani watu wakimbilie kwenye laki 7??
Mchanganuo! Kwa miaka miwili 50M ni Sawa na, (take home)
2,083, 333. 33 Kila mwezi kwa miezi 24(2 years)
Lakini 700,000(take homex24 moths/2years (16,800, 000).
Karibu kwa maoni na michango.
Bado sio sababu zakumpeleka mtu anaejielewa GOV.Health insurance, retirement (NSSF ... etc), stability, networking, urahisi wa mikopo.
Hakika, acha tuendelee kuwa mafukara.Kujiajiri sio swala ambalo kila MTU analiweza .
Unahitajika kuwa na entrepreneur mind set zaidi .
Kuna watu hiyo 700K inawatosha na wanaona bora 700K ya uhakika.
Take home yahuyo anaechukua mil 50 for two years kama hata hana heslb haizid 1.6M per month.Ungelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili
Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu
Najiamini naweza kufanya biashara.
Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi za short term lakini vijana wanakimbilia serikalini.
👉huwa sijui ni kwanini ni uoga? wakuogopa kujiajiri.
👉Kuna advantage gani watu wakimbilie kwenye laki 7??
Mchanganuo! Kwa miaka miwili 50M ni Sawa na, (take home)
2,083, 333. 33 Kila mwezi kwa miezi 24(2 years)
Lakini 700,000(take homex24 moths/2years (16,800, 000).
Karibu kwa maoni na michango.
Mkuu acha uoga wa maisha kuanguka kupo tu hata ukiwa serikalini.Hiyo kazi ya miaka miwili ikisha mkononi una 20M tu, Mwaka 1 mbele ju ulianza biashara huna uzoefu nayo, chali, wa laki saba anadunda, alikopa benki biashara ikafa, after 5 years anakopa tena akiwa kajua wapi alikosea.