Utata kifo cha MC Pilipili: Wauaji hawajajulikana. Polisi wasema alishambuliwa, uchunguzi unaendelea

Mbna kama watekaji walikua wanamuonya na huenda ni mambo ya mahusiano ya kimapenzi.

Daah nchi haina usalama kabxa saiv yaan mtu anafanya uharifu anavojiskia Na mda wowote
 
Aliondika Prof Tibaijuka kwamba utekaji huu ukiachwa utazaa ugaidi. Tukio la binti wa mzumbe mbeya la kutekwa na.hatimaye kuchomwa motto.

La bonge wa kiluvya. Na hili la.mc pilipili ni negative.impact ya taskforce za kihuni za kuwateka makada wa chadema.

Arusha juzi katekwa kijana mchana kweupe.
 
Polisi mambo yao huwa taratibu..ila kama sio mtu mzito kuhusika..amini kwamba watashikwa watu
 
Tz sasa tumekubuhu kwa ukatili! Sijui tunapitia madhila gani kiasi kwamba tunafanyiana unyama wa kutisha, kuanzia ccm, serikali na majeshi yao mpaka mtu mmoja mmoja mitaani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…