Tetesi: Utata kifo cha Mchungaji Mnigeria 'pusha' anaedaiwa kufa Segerea

Anaitwa Hemry Ozoemena Ugwauyi jamaa alikua na kanisa lake hapa nchini zaidi ya miaka mitatu alikamatwa baada ya Raia mwenzake wa Nigeria kukamatwa pale Airport akipeleka mzgo "madawa" Poland ndipo akamtaja jamaa ndie aliyempa mzigo hii ilikua mwaka 2019 ni kweli jamaa alikua Mahabusu Segerea.
 
Kafa haidari akiwa gerezani,mkazi wa ununio
Naye alikamatwa na unga,sembuse
Hyo mnigeria
Msipende kurukia habari msizozijua
Mkishasoma headline mahali mnakuja,mbio mnaanzisha nyuzi

Unataka sasa upewe list ya wauza ngada waliyofia gerezani....

Kwa wengine kwanza hilo siyo jambo geni

Ova
 
View attachment 2463926
Hajatoroshwa huyu dada Antonia ndiye aliondoka na maiti yake!
Huyu mdada naye pia alikuwa mahabusu miaka nane!
Kesi yake ilitajwa kama two weeks ago!
Ala plea bargain amelipa m25!
Ni kesi ya madawa!
Kufa amekufa kweli!
Watu humu wanalopokalopoka
Mkuu

Ova
 
Tupr list mkuu za wabongo.
 
Muuza madawa ya kulevya hamna kumuhurumia
 
View attachment 2463926
Hajatoroshwa huyu dada Antonia ndiye aliondoka na maiti yake!
Huyu mdada naye pia alikuwa mahabusu miaka nane!
Kesi yake ilitajwa kama two weeks ago!
Ala plea bargain amelipa m25!
Ni kesi ya madawa!
Kufa amekufa kweli!
Kwa hiyo siku hizi ukikamatwa na madawa, unafanya 'plea bargain', unalipa! Kesi inaisha. Unarudi mtaani kuendelea na biashara!

Aisee kama Taifa, hatuko serious.
 
Ameondoka vipi na maiti akiwa bado yupo mahabusu?

Hiyo ni Midnight express straight

Duh kichwa kigumu[emoji35]
Nimesema huyo mdada ali plea bargain 25m akatoka jela akaondoka na maiti kurudi kwao Nigeria!
Kabla ya kusikilizwa kesi yake alikuwa mahabusu for 8 years!
Hiyo plea bargain ni kukubali shataka na kulipa fine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…