melusine8
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 6,299
- 7,746
Ana guu la bia
Jamani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana guu la bia
Huyu mnigeria jana nilikua nianzishe uzi kuhusu yeye ila taarifa ile nilihisi sio ya ukweli.
Anaitwa Hemry Ozoemena Ugwauyi jamaa alikua na kanisa lake hapa nchini zaidi ya miaka mitatu alikamatwa baada ya Raia mwenzake wa Nigeria kukamatwa pale Airport akipeleka mzgo "madawa" Poland ndipo akamtaja jamaa ndie aliyempa mzigo hii ilikua mwaka 2019 ni kweli jamaa alikua Mahabusu Segerea.
Alikua anakwenda Poland.Aliyekamatwa ni Linda msichana mzungu 22years alikuwa anakwenda Holland!
Hebu nisiseme sana walahi [emoji45]
Na log off!
Alifia hospitali gani hapa Dar?
Huu mtandao uliwahi kutuwekea rais na sasa umeibuka upyaBinafsi nimegundua Madawa ya Kulevya ni Mtandao mgumu sana kupambana nao.
Ni kama vile hadi State House wapo wanao jihusisha na Biashara hiyo.
Hivi naona plea bargain tu. Je! Hii ni kwa watu wa nje ya Tanzania au wote na watanzani
Ata mm najiuliza ivo na je ayo makosa yana plea bargain??
Kama kafa mwili si upo ?...acha kuendekeza kuhisi uongo.Mamlaka ichunguze jambo hilo huenda mtuhumiwa katoroshwa.
Uyu ndo kafa?
Utata unakuja ni pale bargain ya kulipa fidia ya adhabu aliyokuwa nayo na kukutana na msiba wa mchungaji pamoja Ili aondoke na maiti.Duh kichwa kigumu[emoji35]
Nimesema huyo mdada ali plea bargain 25m akatoka jela akaondoka na maiti kurudi kwao Nigeria!
Kabla ya kusikilizwa kesi yake alikuwa mahabusu for 8 years!
Hiyo plea bargain ni kukubali shataka na kulipa fine!
Mkuu inaonyesha unaficha vingi kwenye hili tukio,,View attachment 2463926
Hajatoroshwa huyu dada Antonia ndiye aliondoka na maiti yake!
Huyu mdada naye pia alikuwa mahabusu miaka nane!
Kesi yake ilitajwa kama two weeks ago!
Ala plea bargain amelipa m25!
Ni kesi ya madawa!
Kufa amekufa kweli!
Ametoroshwaa huyu.View attachment 2464360
Huyo mweupe ndio aliye kafariki!